Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni shabiki wa mieleka sana but its not a real factsPunguza ushamba wewe
Sema kwa kuwa wrestling ni maigizo ndo mana tunaikaushia ila ingekuwa ni boxer, hapa ingekuwa ni balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna jamaa wa marekani kwejye twitter naye aliomba chenji alisema yule sio Lesnar
Ila event loote kwa ujumla lilikuwa poa sana
Co kweli ..ni maigizoNi search kwa neno lipi?
Mkuu yale mapambano "No Extreme Rules" huwa ni ukweli, mtu anapigwa steel chair, ngazi, na damu zinaonekana
Channel 250 Dstv saa 8.30 mchana j.3- ijumaa. Na saa 12 jion wkendHii mieleka ya wwe huwa inaonekana channel gani?
Angalia channel no.250 saa 8 na nusu mchanaDuh
Mimi nipo dstv, huku huwa wanaonyesha TNT wrestling - huwa naiona haina mvuto kama wwe.
Lini hiyo Mkuu ulijua Mieleka ni Maigizo... Wabongo bwana hapo unakuta anaishi Kisiju😀
etv ile ya south africa wanaonyesha ila uwa ipo nyuma km hii mechi wale wanangalia kupitia e.tv watakuja ona wiki ijayoDuh
Mimi nipo dstv, huku huwa wanaonyesha TNT wrestling - huwa naiona haina mvuto kama wwe.
Zilikuwa mbili sio moja... Lakini as you said spear za Goldberg wa sasa sio kali kiasi hicho at this age.. yule wa zamani alikuwa hatari sana. Hawa kina edge, roman, Bob lashley wanatania. Huyu jamaa mbavu zinaweza kuhama nafasi. It's all entertainment bro.Spears za Goldberg yule wa zamani hamna wa kusavaivu, akikuwahi muda wowote mechi inaishia hapo hapo, haijalishi ndo mmeanza mechi muda si mrefu, ila kw hii ni ngumu kumesa Block Lesnar kudondoshwa na spear moja tena ya uzeeni, lesnar yuko fiti sana na kwa akili yangu spears hata tano + chokes za undertaker + 619 + u cant see me bado hazimtoi mchezoni, so let's enjoy the entertainment.
Kabisa. MMA ina watu wake. His take downs are not that much great and punches zake anazidiwa mbali na wengi sana. And he can't use his legs to hit. So anategemea take downs sanaLesnar akiwa mma anakuwa mchumba tu, sio mkali kwenye real fight, kuna pambano kaharibiwa sura vibaya
Hahaha
Mi nilishia kushangaa tuu maana hata cha maana akicho kifanya siku kiona [emoji1]
Kwanza hata kipindi kile Goldberg alikuwa ana mpiga vile vile.
Ila WWE wanajua kufurahisha watu mwee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna jamaa wa marekani kwejye twitter naye aliomba chenji alisema yule sio Lesnar
Ila event loote kwa ujumla lilikuwa poa sana
Teh teh hawanaLesner na Trump hawana undugu?
Hahaha
Huyu alikuwa ni mbabe kweli kweli
Huwa namkubaki pia
Austin 3:16-"i just whipped ur ass" hahahaha.
Kipindi mieleka ilipo kiwa mizuri asilimia 98-100%