Mbabe wa Dunia wa Mieleka kupigwa dakika 1 na Sec 25 Ni Haki?

HII ILIKUWA HIVI
1.GOLDBERG ALIKUWA ANAUMWA BEGA KUSHUKA KWENYE MGONGO SO KURUHUSU APIGANE KWA MUDA MREFU KUNGEMUUMIZA ZAIDI THATS Y WALIPANGA NA BROCK KUWE IWE SHORT GAME
2. SINCE MWANZO BROCK ALIKATAA HII KITU, BUT WWE WAKAWEKA MPUNGA MEZANI SO BROCK AKAKUBALI KUSHINDWA VILE ILIVYO NA KWA KUWA YEYE ANAJULIKANA NI MBABE WA ILE MICHEZO YAKE SIJUI YA KICKBOXER ILE (KUMBUKA BROCK ANATABIA YA KUTOFUATA SHERIA ZA WWE) NA KWENYE MKATABA NI KUWA ARUDIANE NA GOLDBERG KWENYE WRESLEMANIA AND IT WAS SIGNED THAT DAY.
3.NA PIA GOLDBERG ATAKUWEPO KWENYE ROYAL RUMBLE ( KUCHANGAMSHA COZ I DNT THINK WATA SCRIPT ILI ASHINDE ROYAL RUMBLE COZ ITABIDI AWEPO KWENYE TITTLE MATCH @ WRESLEMANIA WAKATI ATA THE SAME TIME ATAKUWA NA GAME NA BROCK SIKU HIYO.
 
Professional wrestling ni scripted entertainment yani matukio yake huwa yanapangwa.mieleka huwa inaenda kwa concept ya storyline(kayfabe)maana yake kwamba storyline ni matukio ambayo yanapangwa kuonekana kama ndio ukweli but kiuhalisia ni acting tu,wanamieleka ni kama waigizaji huwa wanapewa script na wanatakiwa kuifata hiyo script,so yale maneno yote wanayoongeaga na zile actions zote unazozionaga huwa ni scripted but actions asikudanganye mtu huwa ni 100% real sema wanaoperform zile actions ni professionals ndiyo maana huwa wanasema don't try this at home.
 
Mkitaka muilewe zaidi soma wikipedia article inaitwa glossary of professional wrestling terms
 
Kuhusu hiyo ishu ya Brock lesnar kupigwa ndani ya dakika moja na sekunde kadhaa,plan ilikuwa ni kumpresent Goldberg katika hali ya dominant kama ambavyo career yake ilivyokuwa kabla,kwani huyu jamaa aliwahi kupigana michezo 173 bila kupigwa ,kwa mujibu wa Dave meltzer mtu anayehishimika sana kwenye mieleka,Goldberg alikubali kubadili maamuzi yake ya kurudi kwa mechi moja tu dhidi ya lesnar ila ameamua kuongeza muda zaidi wa kuappear Wwe so the plan ni kwamba hawa jamaa watakuwa na rematch 2007 ndo maana Goldberg ametangaza kuingia royal rumble then lesnar atamuharibia royal rumble so watamaliza ugomvi wrestlemania.source what culture.com/wwe na wrestling observer
 
Aliombwa na mwanae akapambambane, hivyo ilibidi ashinde ili mwanae afurahi, hakukuwa na ushindani hapo.
 
Mieleka ni maigizo ,, kila kitu ni planned pale ,, ukiangalia kwa umakini utajua hili... Zile actions zote ni fake ila pain ni za ukweli .. jamaa wanapigana vile ila wanakuwa washafanya rehearsal ndo maana unashangaa sometimes mchezaji anaangalia pembeni ili mtu aingilie au refa apigwe ili mpango ukamilike .. ni mojawapo ya industry zinazotumia akili sana
 
Lini hiyo Mkuu ulijua Mieleka ni Maigizo... Wabongo bwana hapo unakuta anaishi Kisiju😀
Mkuu unaleta ubishi tu ila mieleka ni maigizo , Yale yote yamepangwa yawe vile ... Mimi nimeanza kuangalia mieleka kishabiki toka 2004 , ila baadae nikagundua u fake wake baada ya kuona ma mtu yenye nguvu yanashindwa mechi kirahisi ,, namkubali sana undertaker ila angalia jamaa akiingilia mechi taa zinazimwa na zikiwaka kila mtu amelala chini au anakimbia ,, unajiuliza hawa kawapiga Saa ngapi ? Angalia ray masterial na style yake Ile mtu lazima aende kujiweka pale kwenye kamba then kajamaa kanampiga..
 
Kabisa. MMA ina watu wake. His take downs are not that much great and punches zake anazidiwa mbali na wengi sana. And he can't use his legs to hit. So anategemea take downs sana
Lile pambano lake la mwisho MMA vs Mark Hunt hapa liliboa kuliko mapambano yote niliyowahi kuyaona, yaani hawezi kurusha ngumi muda wote anategemea kushikana tu,kama ulivyosema 'his take downs are not much great', kinachombeba ni umbo lake kuwa kubwa kuliko wapinzani wake wote.
Ila pamoja na umbo lake kuwa kubwa akikutana na wababe wa MMA kinachotokea ni kuharibiwa sura kama hapa na , yaani ule mchezo ni hatari sana ndio unapojua nani mpiganaji wa kweli, hata jamaa wa boxing kuna waliojaribu kuja huku wakakalishwa vibaya.
CM Punk naye mwakahuu alijaribu baada ya kujifua kwa zaidi ya miaka mi3, ila kilichotokea ni aibu alidundwa vibaya na mtoto mdogo, dakika 2 tu na pambano likaisha na career yake ndio imeishia hapo.
Huyu mwingine Batista aliingiaga naye, ingawa alipewa jamaa mwenye manyamauzembe ila alistruggle kweli kushinda
 
Aliombwa na mwanae akapambambane, hivyo ilibidi ashinde ili mwanae afurahi, hakukuwa na ushindani hapo.
Kuna watu Duniani hawawezekaniki kwa kubishia kila kitu... anyway utakavyoona wewe binafsi sawia kwako.. ila Fun wake tuna enjoy tu...
 
umesema kweli, hata mimi nilikuwa fan mkubwa sana. mechi ya Goldberg Vs The Rock ilikuwa balaa sana. Au triple H na hao viumbe wawili. bila kusahau BIG SHOW
 
umesema kweli, hata mimi nilikuwa fan mkubwa sana. mechi ya Goldberg Vs The Rock ilikuwa balaa sana. Au triple H na hao viumbe wawili. bila kusahau BIG SHOW
Eeh kweli wewe muangaliaji

Ile na tripple H nayo ilikuwa survivor series hahaha, ilikiwa poa sans seriea za mech zao
 
WWE ni michezo ya maigizo. Hakuna uhalisia ata kidogo...fuatilia utayajua mengi
Na wale wanaovunjika viungo ni waigizaji na hata yule bwana yes yes yes ambaye fuvu lake limeathirika na kushauriwa kuacha huo mchezo kwani akiendelea anaweza pata stroke- nayo ni uigizaji.
Michezo hii ni 'intertainment' kama ilivyo boxing ila ina athari zake . Hakuna mchezaji mkubwa wa mieleka hii ambaye hajawahi kuvunjika kiungo.
 
Nimewahi kuiona documentary moja ikielezea namna hao jamaa wanavyokua trained kufanya stunts na uongouongo mwingi ulingoni. Hii mieleka ni maigizo mwanzo mwisho! Sasa kwanini nipoteze usingizi wangu kuangalia maigizo, that is insanity.
weka hapa io documentary tuone hatutak uongo wa kindez hpa[emoji37] [emoji37] [emoji37]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…