Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Scripts is what makes it good bro!!Scripted hakuna uhalisia hapo biashara at work
We know it!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Scripts is what makes it good bro!!Scripted hakuna uhalisia hapo biashara at work
Teh teh hawana
Unahisi wana fanana!?
Hahaha!Sanaa...na ile jeuri yake wamefanana
Hahaha!
Wote wajeuri na Trump tayari ni WWE hall of famer nadhani kupitia WWE kulimsaidia awe jeuri zaidi
Mkuu unaongelea mieleka ya TNT au WWE ?Channel 250 Dstv saa 8.30 mchana j.3- ijumaa. Na saa 12 jion wkend
Angalia channel no.250 saa 8 na nusu mchana
TBC ONE...Hii mieleka huonaonekana chennel gani?
Baada ya Mbabe wa Zamani kama Miaka Kumi na mbili iliyopita amerejea kwa Kuustusha Ulimwengu yaani ni Shock ya Ajabu baada ya kumgonga Mzee mzima Block Lesner katika Mpambano nilioushuhudia Live asubuhi ya kuamkia Jumapili ya tarehe 21 September 2016..
Hakika me to Japo nilifurahi ila niliboreka kwa muda huo mfupi ikanikumbusha mambo ya Mike Tyson alipompoga Mtu wakati watu wanakata tiketi game ikawa ishaisha Evander alikasirika sana alipohojiwa na akaomba Pambano na kuja Kumshinda Tyson.
Sasa Huyu Mzee wa Miaka 49 tokea alipostaafu na ameamua kurejea kwa kasi hii mbona atawatuliza wengi... maana tokea alipojiuzuru kushiriki Mieleka alikuwa hajawahi poteza Pambano na aliweza kubeba Mikanda yote mikubwa ya Ubingwa wa Mieleka... Baada ya kujitamba kwa muda mrefu hatimae Mbabe kajulikana... Bill Goldberg alidai amerejea baada ya Mwanae kulilia amuone baba akipigana na sio record tu za kitambo... So Hwo is Next.....!
Mkuu unaleta ubishi tu ila mieleka ni maigizo , Yale yote yamepangwa yawe vile ... Mimi nimeanza kuangalia mieleka kishabiki toka 2004 , ila baadae nikagundua u fake wake baada ya kuona ma mtu yenye nguvu yanashindwa mechi kirahisi ,, namkubali sana undertaker ila angalia jamaa akiingilia mechi taa zinazimwa na zikiwaka kila mtu amelala chini au anakimbia ,, unajiuliza hawa kawapiga Saa ngapi ? Angalia ray masterial na style yake Ile mtu lazima aende kujiweka pale kwenye kamba then kajamaa kanampiga..Lini hiyo Mkuu ulijua Mieleka ni Maigizo... Wabongo bwana hapo unakuta anaishi Kisiju😀
Lile pambano lake la mwisho MMA vs Mark Hunt hapa liliboa kuliko mapambano yote niliyowahi kuyaona, yaani hawezi kurusha ngumi muda wote anategemea kushikana tu,kama ulivyosema 'his take downs are not much great', kinachombeba ni umbo lake kuwa kubwa kuliko wapinzani wake wote.Kabisa. MMA ina watu wake. His take downs are not that much great and punches zake anazidiwa mbali na wengi sana. And he can't use his legs to hit. So anategemea take downs sana
Kuna watu Duniani hawawezekaniki kwa kubishia kila kitu... anyway utakavyoona wewe binafsi sawia kwako.. ila Fun wake tuna enjoy tu...Aliombwa na mwanae akapambambane, hivyo ilibidi ashinde ili mwanae afurahi, hakukuwa na ushindani hapo.
umesema kweli, hata mimi nilikuwa fan mkubwa sana. mechi ya Goldberg Vs The Rock ilikuwa balaa sana. Au triple H na hao viumbe wawili. bila kusahau BIG SHOWSurvivor series ya jana ilikuwa nzuri, at least hawakuniiibia usingizi wangu.
Ila nilishangaa kwamba Lesnar alishindwa hata kujikaza kidogo
Pia nikakumbuka kipindi mdogo, Goldberg alikiwa anapiga kila kiumbe kilicho kuwa mbele yake, Lesna was a monster, lakin alipigwa pia.
Hahaha walinikumbusha nilivo kuwa nampenda Gokdberg nikiwa mdogo hawa jamaa, pia walinishangaza mech ilivo kuwa rahisi kwa Goldberg
Eeh kweli wewe muangaliajiumesema kweli, hata mimi nilikuwa fan mkubwa sana. mechi ya Goldberg Vs The Rock ilikuwa balaa sana. Au triple H na hao viumbe wawili. bila kusahau BIG SHOW
Na wale wanaovunjika viungo ni waigizaji na hata yule bwana yes yes yes ambaye fuvu lake limeathirika na kushauriwa kuacha huo mchezo kwani akiendelea anaweza pata stroke- nayo ni uigizaji.WWE ni michezo ya maigizo. Hakuna uhalisia ata kidogo...fuatilia utayajua mengi
12yearz agoMiaka kama 10 iliyopita Goldberg alimdunda huyo Lesner.
weka hapa io documentary tuone hatutak uongo wa kindez hpa[emoji37] [emoji37] [emoji37]Nimewahi kuiona documentary moja ikielezea namna hao jamaa wanavyokua trained kufanya stunts na uongouongo mwingi ulingoni. Hii mieleka ni maigizo mwanzo mwisho! Sasa kwanini nipoteze usingizi wangu kuangalia maigizo, that is insanity.