Mbabe wa Dunia wa Mieleka kupigwa dakika 1 na Sec 25 Ni Haki?

Mbna wabongo wameshndwa kuiga izo maktu??? it's real fight don't try it any where !!!!
 
weka hapa io documentary tuone hatutak uongo wa kindez hpa[emoji37] [emoji37] [emoji37]
Ingia YouTube then andika "wrestling secrets exposed" uondoe hiyo layer ya ujinga.. Tena zipo documentaries na video clips kibao kuhusu hizo danganya toto!
 
Mbna wabongo wameshndwa kuiga izo maktu??? it's real fight don't try it any where !!!!
Mkuu WWE iko scripted lakini fighting is real na watu huumia kabisa
Ila mshindi hupangwa, na matukio au muendelezo wa bifu hupangwa na huandikiwa scripts.
So watu hupoteza maisha, au huumia kwa kuwa kupigana kuna kuwa real lakini mshindi hupangwa kabsaa kabla sisi hatuja jua
 
Katika ufake huo watu wanakufa hapo inakuwaje mnaosema
Ufeki upo kwa asilimia kubwa (sio feki 100%). Sema huwa zinatokea accident au wahusika kuzinguana kwelikweli (bila stunts wala u-bongo muvi) na hapo ndipo utashuhudia watu wakivunjwa viuno, kupasuana na hata kupelekea vifo. Ila chamsingi elewa kuwa yale ni maigizo (meant for entertainment) kama circus au muv za Hollywood). We umewahi kuona wapi binadamu anapigwa na nyundo kichwani na pande la mtu kama Batista afu asipate any serious injury? The jig is up!
 
Na wanapozimguana hawatoi siri kuwa ni uongo
 
Mimi kwa mtazamo wangu ntashindwa kukubali kirahisi kwamba ni maigizo hayo ni maigizo gani watu wanafiaga ktk uringo na wanatoweka kabisa kwenye uso wa dunia je km ni maigizo hawa watu wote wanalipia na kuingia ukumbini wanashindwa kunghamua kuwa ni maigizo pia mbona hii team wwe wanakuwa na ziara mbalimbali duniani km South Africa, China n.k na wana perform live sasa kote watu washindwe kujua km ni maigizo
 
Hii mieleka ya wwe huwa inaonekana channel gani?

Zipo channels za mbc's katika azam lkn live na latest shows ni AFN Sports2 hii ni powervu encrypted ni nzuri sana km hizi wwe ppv wanazirushaga live na Monday night raw inayochezwa kuamkia j4 marudio yake hurushwa j4
 
Uigizaji wake siyo ule wa movie ,, hapa issue ni kwamba events zinakuwa planned ila kupigana ni kwa ukweli ili ku entertain watu , performers wanakula pain killers na akiumia vibaya kuna ishara anafanya refa anamaliza mechi , na wap wanajua kinachoendelea mwanzo mwisho ,, wanapanga nani wa kuingilia mechi , nani wa kushinda .. kuna kipindi wanaingia ma staasomw days back nilimuona Rooney wa man u akipiga mtu banzi na jamaa akaanguka , ukicheki Ile scenario unaona kabisa kwamba Rooney alipangwa na jamaa aliambiwa akamzingue maana alikaa mbele kabisa na ka banzi alikompiga sio ka kumuangusha ... Watazamaji wanajua hili tena vizuri tu ..
 
Mkuu Miaka hairejei Nyuma 2007? au Unatumia Time Machine? kuchange History!
 
Hivi huo Ubishi nilete mie ambaye nimeleta Mada na wewe ndio ghafla unajitokeza na kusema naleta Ubishi? labda kwenu mtu akiongea mkimsikiliza msipopenda hafla mnamuita mbishi... Tambua mbishi ni yule anayepinga kitu kwa mwenzake sasa wewe ndio mbishi.

Me Nimeanza kutizama Mieleka 1988 Enzi za Kina Tatanka,Mr.Hughs, Mr.T,Hulk Hogan The Big Boss Man, Ultimate Warriors,Andre the Giant n.k Huo Ufake ni Maamuzi yako tu Mchezo una sheria zake ambazo huzielewi ndio maana unaona Fake Tatizo lanu mnataka mtu apigwe ngumi kama za kina Tyson imchane mtu ndio muone ukweli Mieleka sio hivyo kwanza Neno Mieleka ni Kushikana na kuangushana mengine ni uboreshaji ili kuleta Burudani zaidi am sure mnapenda ila sijui mna kkasumba gani nyie Kizazi cha nyoka msio ridhika si muache kutizama tu... kama hupendi wengine tunapenda usiwaconvice na wengine wasipende sababu wewe hupendi ila kialisia Unaupenda...
 
Me naangalia na nafuatilia kila siku na najua Zile ni planned events ,, mieleka imewekewa sheria ambazo haziko fixed kwa lengo hilo waweze kwenda na mazingira, kuna kipindi wanaweka extreme rules . Unaposema umeanza kuangalia tangu 98 mpaka sasa na hujagundua vitu rahisi kama hivi nakushangaa Tangu Leo anza kuwa curious utajua unachoambiwa .. mieleka ni industry kubwa na inapendwa ila wanaoipenda pia tunajua what's behind the scene ... Nna uhakika mieleka umeanza kuangalia juzi , wa zamani wote wanaelewa huu mchezo unavyoenda. Tyson alishaingia mle mara nyingi na akapiga watu , myweather junior alimpiga big show (Haa haaa haa tafuta hii mechi ndo utaelewa tunachomaanisha ) utaona kabisa big show alikuwa na uwezo wa kumkunja myweather na kumvunja na inaruhusiwa ila alikuwa anamuachia dogo mpaka akashinda.. Hope umeelewa
 
Mi eleka huwa planned nan ashinde nan ashindwe..

But the rest huwa real stuff so

My guess illkuwa planned brock ashindwe koz hata watu hubett kwenye mieleka pia.

(According to wwe announcer ile spear ya Golberg ya kwanza ili mtengua mbavu Brock ndio maana alipigwa kizembe hivyo)
 
Namba hujui Kusoma 88 na 98 hazifanani Dogo...

Sasa kama Kila Siku unatizama na kufuatilia how come uuponde huo Mchezo? na unaelewa ni Entertainment... So kila kitu kina Sheria zake so why unasumba hii Thread na watu wanaoisoma? How come unajichekesha kuhusu Myweather na am sure pengine umehadithiwa tu kuwa aliingia kwenye mieleka na hujui hadi leo why alisepa moja kwa moja.. ni kwamba aliona hatouweza na nguvu zenyewe za kumuangusha mtu hana so alichofanya ni kukimbia kimbia baada ya kumchapa ngumi ya pua ya Big Show alichapwa kibao akalia kwa ukelele hata mbwa ana nafuu... myweather alichofanya ni kutumia silaha tu kitu ambacho hakiruhusiwi. so acha kufananisha wanaume wababe na vichalii kina myweather.
 
Niite dogo or whatever , au naweza kukuita binti ili mradi hatujuani unaweza weka chochote ila mwisho Umeanza kuelewa ... Mimi siupondi hata kidogo na kila siku nacheki kuona new event, nikipitwa naangalia torrents maana hapo ndo latest download zenye ubora zilipo ,Mimi ni shabiki mkubwa wa taker ila nakwambia tu ukweli maana kuna mtu juu alisema ni maigizo Nyie mkakataa ,, ndo tunawaelewesha sasa kwamba Next time angalia kwa umakini hiyo mechi ya big show na myweather ni mfano tu , kwa kifupi big show hawezi kulia kijinga vile , mtu mwenye akili anaelewa big show alikuwa anafanya acting ili mchezo uendelee .. Wresting huwa wanaingiza watu maarufu ili kuvutia watu zaidi na myweather hakwenda pale kukaa alienda tu kwa mda kama Rooney alivoingia then anaendelea na kazi yake (hii inaonesha ni kwa kiasi gani hii michezo iko planned ).. Mwanzo walidai undertaker haongei ila kwenye mwaka 2007 hivi ikaandaliwa event na main issue ni kwamba undertaker ataongea na ikawa hivo .. wale jamaa wana akili sana achana nao kabisa
 
Naomba kumsahihisha mtoa mada kidogo tu kua Goldberg ashawahi kupigwa na kelvin Nash enzi za WCW akapoteza ubingwa wa dunia alipoupata kwa Hulk Hogan ..baada ya kufanyiwa fitina na scott hall (member wa NWO)...
 
Kama mnajua ni uongo kwanini mnakuwa excited na hayo matokeo sasa?? Wakati mnajua yanapangwa
hahaha ni sawa na kusema kwa nini senga anakubaliwa na warembo wengi wakati anaigiza hadi unamuonea wivu hahaha kweli wajinga ndiyo waliwao
 
Na ww unaijua juu juu huijui kiundan zaid
 
we jamaa unajua kitu flan kweny huu ulingo mi binafs nasoma kila comment ya kila mtu nagundua kuna ambao wanabisha na hawajui kitu kwny hii industry na bila shaka wameanza kuangalia hii maktu majuz tyuu.

All in all yu give the Fact on board!![emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…