Ndio maana inaitwa Wrestking Entertinment, ni burudani iko scripted ndio lakin series za matukio ndio excitement yetu, humo kuna furaha, majonzi, mapenzi, maumivu na kila aina ya burudani, na script hizo hakuna anayezijua zaid ya wanaocheza wenyewe. na mbona wewe unaangaloa movie na unajua kabisa stering ata shinda tu!!?
Kuna watu wanaangalia Titanic wabafurahi kabisa wakati di caprio hata hakuwa kwenye meli waliigizia kwenye bwawa na blue screen tuu ila ndio watu wana burudoka hivo.
Sisi ndio burudani yetu wewe kama hupendi piga chini.