Mbabe wa Dunia wa Mieleka kupigwa dakika 1 na Sec 25 Ni Haki?

Kama ni maigizo jiulize bongo tumeshindwa nn kuiga? Muda mwingine muache tu mambo yapite bila kuonyesha udhaifu wako wa kishamba
so kukataa kudangwanywa ni ushamba,? acha niwe mshamba!
 
Nikuhakikihie Hakuna Pambanonhata moja La wresttling ni la kweli . Usiwe Blind kiasi hiko ndugu .. Jaribu kuchunguza mambo .. Secret zote za wresstling Zipo Yotube ...search and watch..
Aisee nmefuatilia hizo secret zote hasa baada ya kuambiwa sio kweli lakini nikagundua kuwa yale mapambano ni ya kweli ila kuna mda wanaongrzea decoration ili kuufanya mchezo uvutie zaidi wanaweza ongeza rangi nyekundu kwa kuwapaka wachezaji ziwe kama damu ila si mara zote na kuna baadhi ya bifu zinatengenezwa na nyingine ni za kweli ila yote ya yote ule ni mchezo na kuna ligi za kushindania mikanda mikubwa na wachezaji kushinda mamilioni ya pesa kupitia hiyo mikanda wanayoshinda.... Hadi sasa huwezi jua wapi wameongeza decoration na wapi sio hivyo unabaki kuwa mchezo kama michezo mingine na ndio maana unakuta kuna watu wengi wanaenda kuutazama mchezo ingekuwa ni complete uongo basi hata hao watazamaji wasingehudhuria kwan wao ndio wana ujua vizur ukweli wa mchezo huo... Na watu wamewekeza pesa nyingi mno kwenye huo mchezo hata trump alisha kuwa mdau wa huo mchezo... Ni mchezo mzuri na unapendwa sana.... Ila tatizo mmbongo akiona kidogo tu au akiambiwa basi anajifanya yeye ndo anajua kuliko hata huyo mzungu aliye mtengenezea hiyo simu ya kutumia atashikilia ni uongo uongo kwann tusijaribu na sisi kama ni uongo ile sio muvi ambayo anaweza igiza kila mtu wale watu wako vizuri kimazoezi jaribu kama ni uongo na wale wanaofarik wakiwa ulingoni nao huwa wanakufa kiuongo si ndio...
 
Nilifuatilia kama miaka mitatu hivi iliyopita na nikagundua ni mchezo wa ukweli tu kama michezo mingine wenye sheria ambazo kila mmoja lazima azifuate
 
Aisee nmefuatilia hizo secret zote hasa baada ya kuambiwa sio kweli lakini nikagundua kuwa yale mapambano ni ya kweli ila kuna mda wanaongrzea decoration ili kuufanya mchezo uvutie zaidi wanaweza ongeza rangi nyekundu kwa kuwapaka wachezaji ziwe kama damu ila si mara zote na kuna baadhi ya bifu zinatengenezwa na nyingine ni za kweli ila yote ya yote ule ni mchezo na kuna ligi za kushindania mikanda mikubwa na wachezaji kushinda mamilioni ya pesa kupitia hiyo mikanda wanayoshinda.... Hadi sasa huwezi jua wapi wameongeza decoration na wapi sio hivyo unabaki kuwa mchezo kama michezo mingine na ndio maana unakuta kuna watu wengi wanaenda kuutazama mchezo ingekuwa ni complete uongo basi hata hao watazamaji wasingehudhuria kwan wao ndio wana ujua vizur ukweli wa mchezo huo... Na watu wamewekeza pesa nyingi mno kwenye huo mchezo hata trump alisha kuwa mdau wa huo mchezo... Ni mchezo mzuri na unapendwa sana.... Ila tatizo mmbongo akiona kidogo tu au akiambiwa basi anajifanya yeye ndo anajua kuliko hata huyo mzungu aliye mtengenezea hiyo simu ya kutumia atashikilia ni uongo uongo kwann tusijaribu na sisi kama ni uongo ile sio muvi ambayo anaweza igiza kila mtu wale watu wako vizuri kimazoezi jaribu kama ni uongo na wale wanaofarik wakiwa ulingoni nao huwa wanakufa kiuongo si ndio...
Mkuu watu wanadhania ni Movie... ile... They have to go themself kuliko kusema sema ati ni uongo... Kuna uwezekano wa watu kupanga matokeo lakini si fake... tatizo lao wanataka mtu apige ngumi halisi ambapo ndio haitakiwi maana Ngumi inachana ngozi... kama Damu ni damu tu hamna damu fake... mambo ya kuongeza sijui rangi hamna ukitizama kweny HD huwa clear mno...na hamna vitu kama hivyo... Haa Mpira sometimes hupanga Matokeo bongo pia imetokea sana hata zile timu zilizopanga wakafunga goli 20 na huko...

Mimi Nislishashuhudia Mieleka ya Bongo ya Kina Power bukuku n.k Tx Chaka sikumuona😀
 
Mieleka ina ukweli gani?me sielewagi naona uwongo uwongo tu!Mkuu kuna ukweli pale?
In my side naamini na ninayapenda haswa nikiwa natizama wababe... Game ya Mieleka ina training zake na pia inasheria zake sehemu za kupiga na ukomo wake jinsi ya kushinda n.k so its just normal game tu kama zingine unachotakiwa ni kumfletisha mtu na kumpin down kwa secunde tatu asikurupuke au ukikaa nje ya ulingo kwa muda utahesabiwa hadi kumi kwishney... au ukionekana hujiwezi macho yamegeuka au unadalili za kupoteza uhai pambano linasimamishwa na unawahishwa hospital...

Kuhusu ufake maybe kama kuna rushwa n.k but its real game. Sakafu zake zote zina carpet kuzuia mtu asichubuke maana hawataki Damu kabisa ila Don't try this game at home,School or anywhere ni mchezo hatari kama huna training.. Michezo ipo hadi Olympic
 
Nimewahi kuiona documentary moja ikielezea namna hao jamaa wanavyokua trained kufanya stunts na uongouongo mwingi ulingoni. Hii mieleka ni maigizo mwanzo mwisho! Sasa kwanini nipoteze usingizi wangu kuangalia maigizo, that is insanity.
Kama suala hapa ni kwamba huangalii mieleka kwa kuwa ni maigizo na uongo, Kwa hiyo hata sinema, tamthilia navyo pia huangalii? Kwa kuwa navyo pia na maigizo na uongo.
 
Survivor series ya jana ilikuwa nzuri, at least hawakuniiibia usingizi wangu.

Ila nilishangaa kwamba Lesnar alishindwa hata kujikaza kidogo
Pia nikakumbuka kipindi mdogo, Goldberg alikiwa anapiga kila kiumbe kilicho kuwa mbele yake, Lesna was a monster, lakin alipigwa pia.

Hahaha walinikumbusha nilivo kuwa nampenda Gokdberg nikiwa mdogo hawa jamaa, pia walinishangaza mech ilivo kuwa rahisi kwa Goldberg

Unamkumbuka Steve austine/Stone Cold...ktk wapiganaji huyu ndiye nilikua nampenda sana,
 
Mkuu ilinipita bhana,nimekuja kuhadithiwa tu jamaa kapigwa dah😀😀 nimecheka sana na mijigambo yake
 
Hahaha
Huyu alikuwa ni mbabe kweli kweli
Huwa namkubaki pia

Austin 3:16-"i just whipped ur ass" hahahaha.
Kipindi mieleka ilipo kiwa mizuri asilimia 98-100%
 
Mkuu ilinipita bhana,nimekuja kuhadithiwa tu jamaa kapigwa dah😀😀 nimecheka sana na mijigambo yake
Hahaha
Mi nilishia kushangaa tuu maana hata cha maana akicho kifanya siku kiona [emoji1]

Kwanza hata kipindi kile Goldberg alikuwa ana mpiga vile vile.

Ila WWE wanajua kufurahisha watu mwee!
 
Kweli kila mbabe na mbabe wake, ya Lesnar jinsi alivyokuwa anawasumbua wa kina John Cena leo hii anakuja kipigwa kizembe kiasi hiki!
[emoji41] raha ya pambano hapo hakuna, mimi ningedai chenji yangu tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna jamaa wa marekani kwejye twitter naye aliomba chenji alisema yule sio Lesnar

Ila event loote kwa ujumla lilikuwa poa sana
 
Baada ya Mbabe wa Zamani kama Miaka Kumi na mbili iliyopita amerejea kwa Kuustusha Ulimwengu yaani ni Shock ya Ajabu baada ya kumgonga Mzee mzima Block Lesner katika Mpambano nilioushuhudia Live asubuhi ya kuamkia Jumapili ya tarehe 21 September 2016..

Hakika me to Japo nilifurahi ila niliboreka kwa muda huo mfupi ikanikumbusha mambo ya Mike Tyson alipompoga Mtu wakati watu wanakata tiketi game ikawa ishaisha Evander alikasirika sana alipohojiwa na akaomba Pambano na kuja Kumshinda Tyson.

Sasa Huyu Mzee wa Miaka 49 tokea alipostaafu na ameamua kurejea kwa kasi hii mbona atawatuliza wengi... maana tokea alipojiuzuru kushiriki Mieleka alikuwa hajawahi poteza Pambano na aliweza kubeba Mikanda yote mikubwa ya Ubingwa wa Mieleka... Baada ya kujitamba kwa muda mrefu hatimae Mbabe kajulikana... Bill Goldberg alidai amerejea baada ya Mwanae kulilia amuone baba akipigana na sio record tu za kitambo... So Hwo is Next.....!

Scripted hakuna uhalisia hapo biashara at work
 
Back
Top Bottom