Mbadala au plan B ni muhimu kwenye maisha

Mbadala au plan B ni muhimu kwenye maisha

Guys good evening
Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa.
Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta mtu amewapanga kwahiyo kukatisha huba kwa yeyote ni muda wowote.

Sasa katika Hali hii ile formular ya kutenganisha Mayai na kutoyaweka pamoja itakusaidia ili kuepusha hasara yakivunjika yote au ile ya distribution of risk itasaidia Sana.

Mwanamke hupaswi kuweka tumaini lako kwa mtu mmoja ili akizingua usiumie. Yani ikitokea amezingua unaandika nne unatafuta wine unashushia unapigia figa LA pili unacheeeeka siku inaisha.

Usije kusema hukuambiwa.
Jioni njema
Malaya katika moja na mbili
 
Acha kuwaharibu wenzako, kama una damu ya kimalaya usiforce na wengine wawe malaya kama wewe kwa kisingizio cha bima ya mapenzi.

Bahati mbaya sana siku hizi wanawake wajinga wajinga wanawafuasi wengi wa kuwapotosha humu mitandaoni na kupelekea jamii nzima kuharibika kisa kuiga upuuzi wa mjinga mmoja.

Post za aina hii zipuuzwe, uadilifu&uaminifu vidumu.
 
yule unae mpenda ndiyo anakuumiza ipog hivyo yule unaemtesa kwasababu umpendi ndio anakupenda na wakat huyu unaempenda anakuumiza usiye mpenda ndio anakutuliza ili uwe sawa bila kujua unaumizwa na mapenzi
Kwa sasa nipo level ambayo naumiza everyone anaenipenda... Ninaempenda... Yaan ni full maigizo
 
Hivi nyie wenzetu hamnaga mambo ya msingi ya kuwaza..? Maisha hayawapi challenge nyingine yeyote isipokuwa mapenzi..? Yaani wewe jumamosi ya leo ni ya mwisho wa mwezi, watu tushapigika week nzima hapa kichwa hakifai alafu bado mnataka tuyawaze mapenzi..?
Muanzisha mada tafakari sana maisha yako, muelekeo unaoenda nao unapotea mdogo wangu.
Mkuu mapenzi hili ndio jukwaa lake, masuala ya michongo, siasa, uchumi, historia n.k yote yana majukwaa yao ni suala la wewe tu kwenda kuperuzi uko
 
Guys good evening
Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa.
Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta mtu amewapanga kwahiyo kukatisha huba kwa yeyote ni muda wowote.

Sasa katika Hali hii ile formular ya kutenganisha Mayai na kutoyaweka pamoja itakusaidia ili kuepusha hasara yakivunjika yote au ile ya distribution of risk itasaidia Sana.

Mwanamke hupaswi kuweka tumaini lako kwa mtu mmoja ili akizingua usiumie. Yani ikitokea amezingua unaandika nne unatafuta wine unashushia unapigia figa LA pili unacheeeeka siku inaisha.

Usije kusema hukuambiwa.
Jioni njema
Hivyo unahitaji vidumu vingapi vya petroli🤭
 
Back
Top Bottom