Mbadala au plan B ni muhimu kwenye maisha

Malaya katika moja na mbili
 
Acha kuwaharibu wenzako, kama una damu ya kimalaya usiforce na wengine wawe malaya kama wewe kwa kisingizio cha bima ya mapenzi.

Bahati mbaya sana siku hizi wanawake wajinga wajinga wanawafuasi wengi wa kuwapotosha humu mitandaoni na kupelekea jamii nzima kuharibika kisa kuiga upuuzi wa mjinga mmoja.

Post za aina hii zipuuzwe, uadilifu&uaminifu vidumu.
 
yule unae mpenda ndiyo anakuumiza ipog hivyo yule unaemtesa kwasababu umpendi ndio anakupenda na wakat huyu unaempenda anakuumiza usiye mpenda ndio anakutuliza ili uwe sawa bila kujua unaumizwa na mapenzi
Kwa sasa nipo level ambayo naumiza everyone anaenipenda... Ninaempenda... Yaan ni full maigizo
 
Mkuu mapenzi hili ndio jukwaa lake, masuala ya michongo, siasa, uchumi, historia n.k yote yana majukwaa yao ni suala la wewe tu kwenda kuperuzi uko
 
Hivyo unahitaji vidumu vingapi vya petroli🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…