Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Mkuu wewe huwa nakuona angalau una akili katika mashabiki wa chadema,!Tunatakiwa tukadanganyane wapi ili kuiondoa ccm? Ilitoka KANU yenye wasomi wa ukweli, itakuwa hii ccm inayotegemea washirikina?
Mkuu wewe huwa nakuona angalau una akili katika mashabiki wa chadema,!
Hivi kweli mna mkakati wowote wa kuitoa ccm zaidi ya kupiga kelele hapa jf?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe huwa nakuona angalau una akili katika mashabiki wa chadema,!
Hivi kweli mna mkakati wowote wa kuitoa ccm zaidi ya kupiga kelele hapa jf?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu ana jiita tindo akili azitoe wapi?
Wao Mbowe Ndio anafikiri kwa Niaba yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maanisha ni misukule na mbowe ndio anaimiliki?Mtu ana jiita tindo akili azitoe wapi?
Wao Mbowe Ndio anafikiri kwa Niaba yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unapamia kwenye jukwaa kwa nguvu, hivyo unadhani kila anayeukibali upinzani ni mtetezi wa Mbowe. Usinitoe kwenye hoja ya msingi, angalia vizuri hii id, unaweza kupata msongo wa mawazo.
Una maanisha ni misukule na mbowe ndio anaimiliki?
Sent from Tapatalk
Tume huru tayari IPO na ndio maana kuna wabunge wa upinzani wanapiga kelele tu bungeni wakishavuta bangi zao,Lema,Sugu n.k hawa wabunge naona ni bangi tu sijui kama wana hoja zozote,labda Mdee na Bulaya pamoja na mambo yao lakini huwa wana hoja ukiondoa utovu wa nidhamu walionao toka nyumbani kwao ambako hawakufundwa vizuri au ni wao wenyewe.Kuna propaganda mfu zinaendelea huku jukwaani kuwa NCCR kitakuwa chama kikuu cha upinzani wakidhani watawachanganya cdm. Cdm haishindani na NCCR wala cdm haihitaji kuwa chama kikuu cha upinzani, bali kinahitaji kukamata dola. Na cdm haihitaji hisani ya ccm ili kuendelea kuwa chama cha siasa, bali kinategemea uungwaji mkono na wananchi. Nccr ndio kinahitaji hisani ya ccm ili kufanya siasa. Nawashauri cdm wadai tume huru ya uchaguzi kwa nguvu zote ili kila mtu ashinde mechi zake. Cdm wasikubali kabisa kugeuzwa eti kupigania kuwa chama kikuu cha upinzani kikaacha lengo la msingi.
Yaani idadi ndogo ya watu ndio kusema watu wanataka kumwaga damu? Sasa kama MTU anaona vyovyote vile ccm itapita,kwanini aende kupiga kura? Hakuna kumwaga damu ktk kizazi hichi,kama unabusha subiri,Majeshi yapo imara,utaishia kumwaga damu yako tu na mambo yataendelea.Hiyo ya kumwaga damu ndio hatua itakayofuata, angalia idadi ndogo ya wapiga kura kwenye vituo vya uchaguzi ndiyo utajua nini kitafuata. Ukishaona idadi ya wapiga kura wanapuuza box la kura, basi iwapo chama tawala hakitaliheshimu box la kura, basi ujue hatua inayofuata na machafuko.
Ni kweli hakuna tofauti ya jubilee na Kanu, lakini Kanu ilikufa na ndio ulikuwa mwisho wa siasa za kidictator za Moi. Hata hapa hiyo ccm inatakiwa ifike mwisho bila kujali kitakuja chama gani, lakini huu mwenendo wa kuongozwa na chama kizee utafikia mwisho, kama sio kwa njia ya amani, basi machafuko hayataepukika.
Huu ni utoto,kwani hao akina mbowe walipitishwa na tume gani ya uchaguzi? Ndio maana mnaambiwa hamna hoja ya msingi kwa sasa. CDM Presidential candidate alipata kura 6000000 dhidi ya 8000000 za CCM na bado mnasema tume haikuwa Huru,au mnafikiria kwa kutumia upande mwingine huko.Mkakati unataka uwe upi, cdm sio chama cha kigaidi, bali kinatumia njia za kisiasa kwani kina ushawishi mkubwa kwa watu. Kwasasa njia ya box la kura ndio ya amani, ndio maana tunadai tume huru ya uchaguzi. Iwapo njia hiyo ya box la kura haitafanikiwa, basi kuna njia nyingine nyingi zitatumika japo zina gharama zake.
Wasomi wengi wameikimbia Chadema ilipotia tia GEAR ya REVERSE angani, hivi sasa kimbilio lao ni ACTSasa hivi watu wanapiga ramli za kuwa NCCR inaweza kuwa mbadala wa Chadema.
Hila ukweli uliopo hapa Tz mbadala wa Chadema ni CCM na mbadala wa CCM ni chadema.
Siasa ni mbinu ...chadema wamewekeza kwa vijana wasomi 70% ccm 25% Act 4.7% Nccr 0.3% chauma 0.00% Tlp 0.00% , Undp 0.00% Namba azidanganyi
Its just matter of time.
Africa Msomi hana nguvu wala hajui kuitumia akili na elimu, wapenda wachawi wakubwa ni walioelimika, mafisadi nj wao, wala Rushwa ni wao, vibaraka wa serekali za njee ni wao, wauza nchi, Imani, Mila na watu wao ni wao.Tunatakiwa tukadanganyane wapi ili kuiondoa ccm? Ilitoka KANU yenye wasomi wa ukweli, itakuwa hii ccm inayotegemea washirikina?