Mbadala wa leaving

Mbadala wa leaving

jangos

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2023
Posts
208
Reaction score
231
Wakuu nimefatilia birth certificate wakaniuliza elimu nikawaambia form four, so wameniomba nipeleke copy ya leaving na nlikua nayo, Hila nimechek kila Kona sijaiona nadhani Kuna jinsi imeibiwa
So naomba kujua kama naweza kupeleka nini kama mbadala wa hiyo
 
Chukuwa lost report ya Police nenda shule uliyomaliza watakupa leaving certificate nyingine au tengeneza mwenyewe.
 
Ni ghalama sana kufatilia nataka njue kama naweza kupeleka ya lasaba mana wanataka waone tarehe ya kuzaliwa
 
Nimekuandikia kiutu uzima jiongeze, tarehe ya kuzaliwa inaangaliwa kwenye Nida na na birth certificate
Tengeneza hiyo living, umeelewa? Siyo Nacte hiyo.
 
Kutengeneza living certificate easy tu ila kunakipengele kimoja prem number Ile kuipata ndio jau. Au kuna mtu anajua jinsi ya kuipata

Back
Top Bottom