Tuunde kampuni ya bandari,
Tuandae mpango wa kuunganisha nchi za "east and central africa" na bandari yetu.
Hapa tutazungumza na nchi kama zambia, kongo, burundi, uganda, afrika ya kati.
Halafu tutengeneze master plan itakayojumuisha upanuzi wa bandari, ujenzi wa njia za kusafirisha mizigo, ujenzi wa bandari kavu ndani na nje ya Tanzania, kutengeneza mifumo ya mawasiliano, kutengeneza network ya wasafirishaji wa maloli na mawakala mbalimbali.
Tunakuwa na mfumo madhubuti ambao kila nchi mshirika anafaidika.
Tukishakuwa na mpango ndiyo tuite wawekezaji tukae mezani.
Kuandaa mpango huu tutumie makampuni ya kimataifa ya kufanya shughuli hizi na kuweke wazalendo.
Kutengeneza mpango kupitia consultancy ni gharama ndogo sana.
Mpango ukishapatikana ni kuongea na nchi husika ili waukubali kwa kuonyesha namna watavyofaidika.
Kila nchi inaweza kubeba majukumu ya dry port katika nchi zao au tuzijenge sisi watupe ardhi na vibali.
Majukumu ya kila nchi yawekwe wazi, kama ni kujenga reli, bandari au barabara au kuleta wadau wake wa usafirishaji katika mpango huo.
Siyo haya mambo ya kutazama meli baharini na kuanza kurumbana kwa vitu ambavyo hata plani haionekani.