Mbadala wa TANESCO huu

Mbadala wa TANESCO huu

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,013
eco_house_wind_turbine_470_353x470.jpg

kama serekali ya GNU AU SUKARI bado inataka tuendele
kuibiwa wa watang basi sisi rai wenyewe tunaweza kuweka
kama hivi hii ni nyumba ya mtu binafsi.
wind-energy-home-use-8273.jpg

shangani, michezani,mkunazini,kilimani nyote munaweza kuweka kama hivi na mukawa
na umeme iwacheni serekali iyendele kubebeleza mabwana zao watang na TANESCO.
house-wind-turbine-md.jpg

najuwa siku za mwanzo itakuwa tabu ila tabu hii ni
ya mara moja na ndio lala salama sio ya TANESCO
zima washa zima washa kama tumo ndani ya disco
la komba pale bwawani.
home-wind-generators-canada-1965.jpg

Tuamkeni tusikubali kuwapa wao mamillioni na huku hakuna umeme bora uweke hii juu ya paa lako. Mzee unapeta tu kama kawa.
home-wind-turbines-4320.jpg

ona kitu hichi kila kikipingwa na upepo kikizunguka umeme unazaliwa utakuwa
ndani ya nyumba hutaki hata taa zisizimwe maana hakuna sababu ya kuzima.
home-windmill-power-canada-9074.jpg

oneni kitu kinavyo fanya kazi kidogo ila mzee nyumba mbili mpaka tatu zinaweza kutumia umeme huu tutakaa tukinyanyaswa na TANESCO mpaka lini.?
windspire-vertical-wind-turbine.jpg

Jioneeni wenyewe katulia mapurini na anaumeme wa windpower kwanini sisi tusiweze tuamkeni jamaa tume lala sana jamaa bora pesa zako uweke ununuwe hii kuliko TANESCO.
high_efficiency_house_using_5kw_wind_power.jpg

popote mwera,tumbatu,mkwajuni,donge,kizimkazi,umeme mtu.
micro-wind-turbine.gif

hatuna haja ya TANESCO znz jamaa mambo haya.
ecosense_cobhouse.jpg

unaona nyumba hata haijakwisha tayari mzee washaipachika solar plat juu ya paa
sasa sisi twasubiri nini tena jamaa m/mungu ametupa akili na macho kuvitumiya.
SWSSMP.JPG

mwembe tanga,mshelishelini,mtendeni,mchangani,
mlandege mambo hayoo umeme mpaka mutauchukia.
img_0389.jpg

oneni wenzetu huko ulaya haya yote yanawezekana hapa kwetu pia ni sisi wenyewe kuamuwa tu kama GNU AU SUKARI hawataki basi sisi kila moja ajinunuliye ajiweke kwake basi wao viongozi waendele na wa TANESCO WA MABWANA ZAO WANAOWAOGOPA.
cascade-engineering-swift-wind-turbine.jpg

kuna kila ya aina kama unachanguwa samaki
wa vibuwa marikiti vile kumbe mzee unatia umeme.
3973351250_0a577f642b.jpg

check vitu vidongo ila kwenye nyumba yako mzee umetulia hakuna athaa za TANESCO.
backyard-wind-turbine1.jpg

ona hapa jamaa kauweka uwani unazunguka tu ukimpa umeme.
Windpower.jpg

ona alivyo tulia hakuna mawaya kuninginiya wala nini safi kabisa.na umeme ndani kama kawaida.
3972582719_054129f988.jpg

ona wanavyo mkaguwa wanajuwa ndio mwisho wa matatizo amkeni jamaa.
b%C3%A4ckland-wind-power.jpg

kila akiwa juu zaidi na umeme zaidi ndio tutakapo peta zaidi.
Wind-UMPIbig_2.jpg

kwenye viwaja vya kikwajuni kule sinikama hapa tu tunaweka maguzo karibu na bahari yanapingwa na upepo wanacheza mpira mpaka usiku manaa taa zinawaka mji mzima taa mtu tuone kama kutakuwa na wezi na majambazi yataona hata haya kuiba maana taa kila mahali hakuna kiza sio.
1297627220-68.jpg

kama hutaki feni unaweka hii ndio solar plat inapingwa na juwa wewe unawasha
taa kila mahali wala huzimi unaziwasha tu hata kama ni mchana unaziwasha tu
hakuna tena kuwatukana watoto wetu kazime taa wewe hakuna wanasoma
mpaka usiku na vitabu vyao au munasemaje ndugu zangu..?
wind_turbine_kuwait.jpg

kubuguthiwa na TANESCO tunataka wenyewe ona mambo haya raha kabisa hulipi kila mwezi
unalipa mara moja tu ukinunuwa ndio lala salama utakufa wanao wanaumeme.
Endurance-wind-power.jpg

dungu zetu muliokuweko nje hebu tulete eni na sisi huku tuondokewe na mauthia
ya TANESCO tumechoshwa.
wind.jpg

kila ikishika kasi ndio umeme unazidi tukiwa nayo hapa tutajitosheleza mpaka tutakuwa
hatuna tena pakuweka umeme ona vitu hivyo sisi tumo tu TANESCO TANESCO TANESCO
MPAKA LINI JAMAAAAAAAAAAAAAAAA.?
home_solar_electric_systems-6583.jpg

MCHEKI JAMAA TU HANA NOMA WALA NAZI
KATULIYA NA SOLAR PLAT ZAKE JUU HALIPI
KITU MWISHO WA MWEZI YEYE ANAPETA TU.
windsave.jpg

muone jamaa ameona bora awe nao mwenyewe wa bure na sio kama huko kwao unakatwakatwa kama hapa kwetu ila hataki tena kulipa na yuko poa.
Skystream.jpg

hakuna sababu yakuwa mtu asiwe na umeme znz angali hii
picha kunatafauti ngani na DONGE au MKWAJUNI na watu
wana umeme znz bado tu TANESCO TANESCO MPAKA LINI..?
house3.jpg

ONA hapa kilivyo kidongo ila umeme nyumba
nzima na wala haukatwi jamaa znz kweli tuko nyuma.
House_with_solar_panel_in_Khevsureti.jpg

hata mawe mporomokoni pia wana umeme una juu kwenye nyumba kuna kitu kiupe ndio solar plat ile mzee
Kae_Shummoogum.jpg

nje na internet yake maana umeme anao kama kawa mzee bado tu.
wind5.jpg

ona kijumba chake kidogo lakini anaumeme.
wind+power.jpg

hata kama unaishi kwenye kontena umeme unao ila hatuishi kwenye makontena japokuwa ni masikini ila tuna maduka ya makontena umeme huu hapa hatunahaja ya TANESCO hatuna haja kabisa.
malawiwindmill.jpg

cheki jamaa hana pesa za kununuwa windpower ananzisha yake mwenyewe west africa
huko watu wanahasira ile mbaya sio sisi tu znz ni africa yote viongozi ndio walao rai tufee.
solar-village-home-6.jpg

hii ndio solar plat ona hapa hata ukutani unaiweka basi inapingwa na juwa wewe unakula umeme tu.
Power-Flowers-6b-537x402.jpg

ona miji ya wenzetu mawindi powa kila mahali na usafi kabisa hakuna waya kuninginiya.
SWWINDPOWER-01.jpg

habu sisi wananchi natuamuwe kununuwa hii basi tuondokane na mauthii
r

waone wenzetu huko kila moja juu ya paa lake na solar plat yake kanyamaza
kimya akitaka anawasha hataki basi hakuna ndeni la TANESCO znz iwe hivi.
Make-MakerWorkshopWindPowerGeneratorOnMAKETelevision388.jpg

cheki hapa bwamdongo anafanya vitu vyake hataki tena usubufu wa umeme.
jellyfish.jpg

yako mwenyewe sio TANESCO.
NTS-Alert-mar-1001_image004.jpg

CHEKI JAMAA KIJIJINI KABISA LAKINI SOLAR PLAT NA
WAKO POA TU MZEE ITAKUWA SISI ZNZ.
the_big_one.1189305960.the-monestry-has-wind-power.jpg

ONA ktk ya pori kijijini lakini wanakula umeme wao poa kabisa.
tsokhahuts.jpg

ona hapa hii nyumba lakini mwenyewe ana solar plat yake hata habari hana umeme kama mchanga
anapeta tu mwenyewe sisi znz 2011 bado tunabebejekeya watanganyika ndio wakatunyanyasa ati.
Home_solar_collector.jpg

unaona juu ya paa unaweka solar plat zako basi zinapingwa na juwa wewe ndani kwa ndani unaijoi tu hakuna mgao.
FlatPlatSolarPanels.jpg

hii ndio solar plat au uipenda unaweza kuita watoto pacha kama unguja na pemba ukiwa nazo basi.dungu zetu muliokuwa nje musitulete makanzu na makofia na viatu vya nike na adidas tulete eni mambo kama haya tujikwamuwe na huyu mkoloni mweusi na hii serekali yetu iliyoja wezi wasiotosheka kuiba mpaka wanaingizwa makaburini wao bado tu wanaiba.
FUNGUWENI MACHO MUNACHEKWA ULIMWENGUNI.

TANESCO_2.jpg

hii ndio Dowans ambayo imelala na mamillioni ya wananchi mpaka leo kimya.
Tanesco_Logo.jpg

hii ndio tanesco inayowanyanyasa wananchi wa znz kwa umeme na kuiba mamillioni kwa mamillioni wananchi wanalipa na wala hauwashwi tunagaiwa
kama kokwa za tende moja moja siku wakisha pinga tungi ndio wanauwasha
494TANESCO1.JPG

watu tuna lipa mapesa kibao na huu ndio ufungaji wao
wa umeme kuna tafauti ngani na somalia nchi ambayo ina
vita zaidi ya miaka 24 sasa na umeme wanaufunga vizuri kuliko
hivi ni kamaaaaaaaaaaaaaa hata sijuwi niseme nini nituendele kuibiwa tu znz basi.
tanesco.jpg

hawa ndio wanao tuzimiya na kutuwashia na kutunguziya vitu vyetu.
20080507_tanesco-connection.jpg

mwenye nyumba hajuwi kama na yeye ashajitiya msibani wanamungia harahara
ili wanze kumnyowa hizo pesa zake waone hata mavazi yao yanaonyesha kuwa
ni wezi tu sio watu wa umeme.
Tanesco.JPG

mafaili mengi simu za mkononi mbili mbili koti na tai kubwa na umeme hauwaki daaaaah.
tanesco.jpg

kila siku kwatengezwa na znz umeme hakuna jamaa bado tu tunawategemeya wakoloni wausi mpaka lini..?
tanesco-2.jpg

tanesco-1.jpg

Vacation+062.jpg

2011 ndio kwanza mawaya yananinginiya mpaka kwenye kuta na mabati bado tu znz hatuwatupili mbali
na kuanzisha wetu wenyewe maana tulikuwa nao umekwenda wapi..?na ni nani aliyesema tuanze kuletewa
kutoka kwa hawa watang..?
6a00d834522fa869e20120a5bd5aa3970b-800wi

aibu gani hii waya hazina umeme mpaka watu wanageuza ndio kamba nzuri za kuanikiya nguo amkeni amkeni.

Meneja+Tanesco+Mtera+%28koti+jeusi%29+JUSTUS+MTOLERA+akiwapa+maelezo+wabunge+%28kulia%29+waziri+Ngeleja+akifuatiwa+na+mk+wa+kamati+Maka.jpg

katika harakati za jinsi gani tuwadanganye wananchi ili tuzidi kula au mushashiba.bado bado mzee tunataka zaidi.
pdp_1+%25282%2529.jpg

TANESCO Managing Director ENG. William Mhando ona jitumbo lilivyokuwa kubwa mpaka
vifungo vya koti havifungiki kwa kula haramu na jasho la masiki kuwalipisha umeme ambao
hata hauwashwi.

NINA WEKA HIZI PICHA KWA MAKUSUDI MAANA VIONGOZI WETU WA ZANZIBAR WASHAKUWA KAMA ILIVYOSEMA ((QURAAN SUMUN BUKMUNI UMIYUNI FAAHUM LAAA YAARJIUNI)).
NA KAMA SIO KWELI NINAYO SEMA HEBU ZNZ IWEKEANI UMEME KAMA HUU TUONE KAMA TUTAPATA TABU TENA.
vestas-forecast.jpg

munasafiri kila siku munakwenda nchi za nje sijuwi munakwenda kuficha
hayo mamillioni muliyo iba kama alivyofanya mubarouk,ben ali na gaddafi.
maana huko ulaya kila mahali siku hizi wanajaribu kutumiya windpower
kama hamujuwi basi ndio huu hapa ni umeme ukiweka maguzo matatu unguja
na matatu pemba kwisha fitina ya umeme hatuna haja ya umeme wa tang.
meetingsHeader.png

ona ulivyo mzuri green hakuna uchafu znz itazidi kughara lakini najuwa viongozi wa znz
mpaka mume wenu mtanganyika awambiye ndio mufanye kama sio hivo mutanyamaza tu.
wind_turbine_1.jpg

nyinyi majuha muliyo jazana baraza la wawakilishi fumbuweni macho ulimwengu usha amka nyinyi bado tu munaona kuwa na prado na nyumba 6 za wizi na viwaja vya wizi na umeme
wa mgao ndio maisha ona mambo haya.
samsung.jpg

ona kitu hichi nyinyi bado tu TANESCO TANESCO TANESCO mume kama hamukusoma humo ndani ya baraza la wawakilishi hata sijuwi mulifika vipi na kuwa mawaziri na wabunge ahh nimekubuka munarithishana kama nyumba yenu jaji mkuu hakuondoka mpaka kamuwacha mwanawe kwenye kiti na nyinyi ndio hivyo hivyo ndio znz ikadidimiya.
61855488.jpg

hebu wekeni haya matatu unguja na matatu pemba tuone kama tutasikia mtu anasema
sina umeme kitu kinatumiya upepo tu na lini znz tulikosa upepo.?
large_wind-power.jpg

oneni funguweni macho viongozi wa znz ni bahari hii na umeme
unapatikana na sisi unguja na pemba tumezungukwa na bahari
au znz sasa ni ethiopia ndio ambao hawana bahari..?
1332-deepwater-offshore-wind-power-generation-using-oil-and-gas-platform-technology.jpg

tumezungukwa na bahari ona mambo haya bado tu munahanithiwa
na watanganyika kwa umeme..?
windlens-ed01.jpg

oneni mambo sio nyinyi munajazana baraza la wawakilishi na hakuna hata moja
mwenye fikra za kutatuwa umeme haya mimi mwananchi nawapa fikra sasa nyinyi
timizeni kama kweli ni viongozi au ni wezi tu mumeka hapo na kuiba basi.
wind-turbine.jpg

cheki vitu hivyo ni umeme sio tanesco mpaka lini maguzo yanaoza waya
za ninginiya mpaka za uwa watu kwa mgao kama tende cheki vitu hivi shein
na seif na wenzenu nyote humo ndani ya baraza munasinzia tu kama pono.
wind_power1.jpg

baraza la wawakilishi amkeni munasinziya sana nyinyi majuha humo ndani kazi kulala tu hamuna nyumba za kulala mpaka mulale baraza la wawakilishi..?bahari hii na umeme pia.
je znz hatuna bahari sisi tuna mito au maziwa..?
22312185.jpg

unaona umeme wa windpower kwenye bahari kule na hapa check barabara ilivyotulia je kwa nini sisi isiwe kama hivi..?itakuwa mukiwachakuwibaa mamillioni na kujenga nchi itakuwa hata kuliko hivi ila uroho umewaja na tamaa na mukifa munaviwacha hapa hapa viongozi wangapi walikuwa wakiba na kuwanyanyasa wananchi na sasa wamo makaburini wanaiyona joto ya jiwe na nyinyi endeleni tu.
Solar%20Street%20Lights2.jpg

ona taa za barabarani solar plat mtu
0,0,384,17638,1200,1800,a6817e02.jpg

barabara ya kwenda jagombe tuwekeni kama hizi au mwera
1260951501Wind-Solar-Street-Light.jpg

mji utapendeza mpaka mashambani pia
solar-street-light.jpg

kitope mfenesini uruwa pwani mchangani kama hizi tu
solar-street-lights-720063.jpg

hata taa za barabarani pia zina tumiya solar plat hakuna haja ya mawaya
solar-streetlightL-02.jpg

foro kama kawa mzee juwa tu BLW hata hizi pia hamuwezi kununuwa..?
Solar_street_light.jpg

shangani malindi na kiponda mkunazini kilimani kama hizi vichochoroni juwa tu
245.jpg

ona hapa hata india vijijini wamewekewa itakuwa znz jamaa serekalini punguzeni kuiba daaah.
Solar-Street-Light-HTU-DL-125-.jpg

shein na seif oneni mambo haya michezani kunatisha siku hizi kupita
led-solar-street-lights-817.jpg

nchi nyengine africa zisha anzaa je sisi tutakuwa
wa mwisho au ndio sio nchi ni mkowa wa pwani..?
LED-Solar-Street-Lamp.jpg

hakuna hata sababu moja ya kuwa znz isiwe na taa za barabarani au kwenye vichochoro ona mambo haya.
super_solar_street_lights_00330447689.jpg

hata mitaani pia tuwekeni kama hizi hazitaki mafuta ya taa hii ni juwa tu shein na seif.
Solar-Street-Light.jpg

marikiti pia kunatisha usiku taa kama hizi mchana kutwa zimepingwa na juwa usiku zinawaka tuu
Solar_Street_Light.jpg

au hivi barabara zote za unguja na pemba ndio kujenga nchi ati.
 
DAH wadau yaani nchi yetu imeshindwa fanya namna hiyooo! wadau wa zenj hata mie nawaungeni mkono, heri mjitenge tuu kwanza muondokane na huu utawala dhalimu wa CCM, pili msiteseke na huyu twiga mnyonge yaani tanesco na tatu mkitoka hapo lzm mtapiga hatua kwa kwenda mbele coz nyonya damu hamtakuwa nalo (CCM)
 
Kila la kheri, Zenj bila Tanesco inawezwkana
mtuwache na Tanganyika yetu na migawo isiyo na mwisho
 
kiswahili cha pemba nin?wazo lako zuri sana.tatizo mindset ya viongozi wetu.

Sio kiswahili cha kipemba,hicho ni kiswahili safi kabisa,,unafahamu kuwa katika east africa mashariki zanzibar ndiko kunakoongewa lunga safi ya kiswahili.?
 
Hii inaitwa; "kuruka mkojo kukanyaga mavi". Kwa hiyo unaona ni bora kuibiwa na wa-china kuliko wa-Tanganyika, mimi nilifikiri wewe umekuja na wazo la kukomboa nchi kutoka katika tatizo kumbe unatuletea teknolojia za watu wengine. Acha kulaumu jiulize WEWE UMEFANYA NINI KUONDOA TATIZO, nafikiri umemuona yule mtu wa Afrika Magharibi kwa uwezo wake amejaribu kuhamisha teknolojia hiyo. Hivi hawa tunaowasifia kuondokana na matatizo ya umeme wao waliletewa na nani? BADILI MTAZAMO KWANZA
 
unaonekana bado unamawazo ya kibepari,hata kama zinatengenezwa na wachina buh still it exist,sasa hivi kila kitu kinatengenezwa na wachina,na katika hii dunia taifa mabalo litakuwa na technology kubwa zaidi ni china ambao sasa wanafukuzana na USA,hata bara la ulaya wamewekeza china,kuna kila aina ya standard ya vitu,fist1 class,second class,and third class,bara la ulaya tunatumia fist1 class,ambayo iko bei juu,na wanaiweza kuimudu ukilinganisha na mabara mengine. Lakini pia hata wewe ukitaka na ukiwa na uwezo unaweza kununua.

Tembea uwone sio unaropokwa tu,hebu nenda mpaka china halafu uje utambia mavi na mkojo.
 
Back
Top Bottom