Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Xpeng Mona Mo3 ni compact electric sedan, ilioletwa kwa wapenzi wa sedan ambao hawawezi kuafford Tesla Model 3 ambayo ni mara 2 zaidi kwa bei.
Design yake imefocus zaidi kwenye aerodynamics, kwani ina drag coefficient ya 0.194 ambayo hadi sasa ndio ndogo kuzidi sedan yoyote iliowahi kutengenezwa (mass produced achana na concepts)!
Gari inakuja na battery kutoka BYD (FinDream) yenye uwezo wa 62 kWh, ambayo inaweza kukufikisha hadi range ya kilometa 620, hii inachangiwa na drag coefficient na uzito wake wa wastani Kg 1,700!
Pia inakuja na motor either 140 kW au 160 kW.
Ndani haina mambo mengi, ina display ya 15 inch, audio system (7.1.4), hidden air vents na mazaga mengine.
Baadhi ya features zinazokuja standard ni Driving Assist Level 2, Adaptive Cruise Control, eyeline camera (hii ni camera inayotoa alert flani endapo dereva atakua distracted kuangalia pembeni au kutoa mikono kwenye usukani, kuna siku Nyani Ngabu alitoa uzi flani "Je gari lako limewahi kukuambia hivi?")!, lane keeping assistance, automatic emergency braking, 360-degree camera, blind spot monitoring, ESC, na vinginevyo..
Najua Mil 45 bado ni hela kubwa sana kwa wengi wetu, lakini gari mpya kuuzwa hii bei ni nafasi nzuri kwetu wazee wa used kwani ndani ya miaka 2 inaweza depreciate hadi 60% ikawa chini ya mil 20. Sasa imagine 5 years.
Bado makampuni mengi ya magari yanaagiza tu magari kutoka Japan kuingiza Tanzania, siku yatakavyoanza kutoa magari China ndio siku ambayo EV zitazagaa mjini. (Mtazamo binafsi)!