Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
Aaaaah! Sasa wewe Rutashubanyuma una maana sisi wazee wa muji hatutakiwi kutumia hii kitu? Au hata tukitumia hatutafaidi kama wafaidivyo vijana? Hebu weka records straight kabla sija break news kwa mtani wa jadi kuhusu manufaa ya hii kitu.
pokea kesho kwenye Saibaba.....
Ngongo kama una mashine ya kukamulia juisi ni rahisi sana.....................ondoa kidogo maganda ya juu usiyamalize yote na likamue na mbegu zake hivyo hivoy usiongeze sukari kunywa hivyo hivyo ukiizoea hiyo ladha hutataka kusikia ladha nyingine ila khala khala usinywe pekee yako mshirikishe na mwandani wako.........................inasaidia kama kinga ya magonjwa mengi yakiwemo ya ubongo kama kusahausahau.................na kinga ya kansa za aina nyingi tu kwa sababu inachofanya ni kupunguza sumu mwilini......sumu za vyakula na vinywaji haswa..............best of wishes too Ngongo
hivi Viagra inatumiwa na wanawake pia....?
nimeuliza tu......
it is also produced in female adrenal glands and ovaries, raising a woman's sex drive and strengthening bones and muscles.
Mkuu Ruta,
Unaweza kuchanganya na matunda mengine eg Embe,Papai,Nanasi ......?.Unajua nilijaribu kutafuna mbuge zake ziana uchungu uchungu bila shaka ukichanganya na matunda mengine bila kuongeza sukari.
Thanks mkuu. Nitanunua nikapande shambani kwangu na mimi.Limejaa tele kwenye bustani binafsi katika maeneo ya mkoa wa pwani na Dar-es-Salaam yake
Linaitwa komamanga
Na hivi nina miti minne namuonea huruma shemeji yenu
Mwanzo niliacha watoto wawe wanakuja kuchuma
Kuanzia leo full stoooop
OTIS
Thanks mkuu. Nitanunua nikapande shambani kwangu na mimi.
Mkuu Ruta,
Unaweza kuchanganya na matunda mengine eg Embe,Papai,Nanasi ......?.Unajua nilijaribu kutafuna mbuge zake ziana uchungu uchungu bila shaka ukichanganya na matunda mengine bila kuongeza sukari.
Ruta mbona unatupeleka mbali kuhusu hii tiba mbadala kweye 6x6? Ngoja niwape issue, mimi huwa napata Samaki wa Foil hapa Ma****ko baa ndani ya A-Town natumaini PJ na Preta wanapapata, nikishashiba nashushia na CastleLite mbili bariidi naMix na Valdimiri za pakti mbili, halafu tunaingia ndani ya 18! Jaribu halafu niPM unipe matokeo! Usuzidishe zaidi ya hii doze! otherwise utamuuzi mamaa.
mbona unajihami hivyo preta? Tunajua umeuliza tu na kuuliza siyo ujinga....................wao wanadai kuwa inafanya kazi ya
mbali ya kuongeza hamu ya tendo......................hata akina mama wengine wako frigid wanahitaji hii juisi iwajenge kaa mbali na viagra ina madhara makubwa hasa kwenye moyo kwa kuharakisha mzunguko wa damu na wengi kushindwa kuhimili vishindo vyake........... Preta
na pia mara moja moja....tupia na kitu cha....uji wa shanga.....