Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #41
Aaaaah! Sasa wewe Rutashubanyuma una maana sisi wazee wa muji hatutakiwi kutumia hii kitu? Au hata tukitumia hatutafaidi kama wafaidivyo vijana? Hebu weka records straight kabla sija break news kwa mtani wa jadi kuhusu manufaa ya hii kitu.
Tata kama yake majambozi bado unayaweza basi wewe bado kijana......kwa hiyo ondoa khofu kabisa kanywe haya majuisi khalafu utanisimulia mabadiliko utakayoyaona............................[MENTION]@tata[/MENTION]