Mbadala wa "Viagra" ni juisi ya kokomanga

Kweli wanaume tumeumbwa mateso! Kwanini hizi tiba ni kwa wanaume tu peke yao? Kwakua mimi najua hizi tiba anazoongelea Ruta na nyinginezo ni kua ukishapata unatakiwa usiwe mbali na Ndude! Sasa swali langu ni je hakuna tiba kwa kina Preta na wenzake nao kua wakishatumia na wao wasiwe mbali na kina PJ na kina RUTA?
 

hizi tiba kama huna ndude hazikuuhusu......tatizo linakuja pale ambapo ndude ipo na haipati huduma elekezi.....ndio swala zima la tiba linapotokea......
(
ndude zina balaaaa hizi ndude hizi)
 

Does it have caffein or something? Maana kuongeza mapigo ya moyo bila kuwa na pump lazima itie dawa fulani kwenye damu
 
Last edited by a moderator:
hizi tiba kama huna ndude hazikuuhusu......tatizo linakuja pale ambapo ndude ipo na haipati huduma elekezi.....ndio swala zima la tiba linapotokea......
(
ndude zina balaaaa hizi ndude hizi)

Ungeona watu wanavyozigombanua wala usingesema zina balaa
 
Ume-generalize sana as if hata mimi nahitaji kutumia hii kitu:boxing:

kwa namna ipi hadi useme hivyo....Ezan? Ezan
 
Last edited by a moderator:
jibaba lizima linatoa michozi kisa ndude.....ha ha ha.....wanaume sijawahi kuwaweza...hakya mama.....

preta utatuweza tu ukitupatia hiyo ndunde yako.......LOL...................Preta
 
Last edited by a moderator:
Does it have caffein or something? Maana kuongeza mapigo ya moyo bila kuwa na pump lazima itie dawa fulani kwenye damu

haina caffein ila inasaidia kurejesha mwili katika khali yake ya kimaumbile kwa kusafisha sumu kama vile aina ya detoxification hivi......................haiongzi lolote mwilini zaidi ya kuurejesha kwenye khali yake iliyopaswa kuwa ambayo imeathirika na sumu za vyakula na vinywaji tunavyomeza kila siku. Ndahani
 
Last edited by a moderator:
Mammamia kimbia sokoni sasa hivi ukanunue tunda ulitafune leo hii au nenda kwenye supermarket ukalinunue chupa kubwa........anza kuijenga afya yako mapema sana..... MAMMAMIA
Mimi nilidhani bora kujenga barabara kabla ya kununua gari, kinyume chake nitaiendeshea wapi? lol.
Hiyo hapo juu yote ni mzaha tu. Huku ninakoishi yanapatikana sana na yana matumizi mengi zaidi ya juisi kama vile katika utayarishaji wa saladi, kuchanganya na nyama/samaki, pia kwenye maduka ya dawa za asili komamanga ni chanzo cha tiba ya magonjwa mengi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…