OTIS
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,252
- 832
karibu Chugga....mji wa mambo yote.....
Inabidi nifunge safari maalum ya kuja kupata huo uji.
Nitapanda saibaba
OTIS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu Chugga....mji wa mambo yote.....
Inabidi nifunge safari maalum ya kuja kupata huo uji.
Nitapanda saibaba
OTIS
Kweli wanaume tumeumbwa mateso! Kwanini hizi tiba ni kwa wanaume tu peke yao? Kwakua mimi najua hizi tiba anazoongelea Ruta na nyinginezo ni kua ukishapata unatakiwa usiwe mbali na Ndude! Sasa swali langu ni je hakuna tiba kwa kina Preta na wenzake nao kua wakishatumia na wao wasiwe mbali na kina PJ na kina RUTA?
mbona unajihami hivyo preta? Tunajua umeuliza tu na kuuliza siyo ujinga....................wao wanadai kuwa inafanya kazi ya
mbali ya kuongeza hamu ya tendo......................hata akina mama wengine wako frigid wanahitaji hii juisi iwajenge kaa mbali na viagra ina madhara makubwa hasa kwenye moyo kwa kuharakisha mzunguko wa damu na wengi kushindwa kuhimili vishindo vyake........... Preta
hizi tiba kama huna ndude hazikuuhusu......tatizo linakuja pale ambapo ndude ipo na haipati huduma elekezi.....ndio swala zima la tiba linapotokea......
(ndude zina balaaaa hizi ndude hizi)
Ungeona watu wanavyozigombanua wala usingesema zina balaa
'Viagra effect' from a daily glass of pomegranate juice
![]()
Boost: Pomegranate juice has surprising attributes
![]()
kaa mbali na viagra tumia hii juisi na mambo yatakuwa shwari ndani ya wiki mbili.pata glass yako moja kila siku angalau wewe na mwandani wako khalafu msisahau kunitonya maendeleo ndani ya takribani wiki mbili
![]()
![]()
Sio Mkokomanga ni Mkomamanga na tunda linaitwa komamanga :]
Does it have caffein or something? Maana kuongeza mapigo ya moyo bila kuwa na pump lazima itie dawa fulani kwenye damu
Mimi nilidhani bora kujenga barabara kabla ya kununua gari, kinyume chake nitaiendeshea wapi? lol.Mammamia kimbia sokoni sasa hivi ukanunue tunda ulitafune leo hii au nenda kwenye supermarket ukalinunue chupa kubwa........anza kuijenga afya yako mapema sana..... MAMMAMIA