Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za Viwandani

Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za Viwandani

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Kwa maeneo ya Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za kutwa.

Kama unavijua taja hapa, kwa wale wenyeji wa Maeneo hayo.

Unaweza kushare hapa.

Na kama una connection yoyote kwa kiwanda chochote, basi itakuwa vizuri
 
We fika pale mkuu mm sijawahi fika. Nasikia sikia tu kwamba nafas ukiwa na kielimu kidogo unapat Kwa urahis. Kiwanda cha rasta za darling
 
We fika pale mkuu mm sijawahi fika. Nasikia sikia tu kwamba nafas ukiwa na kielimu kidogo unapat Kwa urahis. Kiwanda cha rasta za darling
Kwahyo kiwanda kipo Kongowe Mkuu..?
 
Wakuu leteni machimbo basi
 
Back
Top Bottom