Q QIT Member Joined Mar 7, 2024 Posts 67 Reaction score 118 Mar 12, 2024 #1 Mbagala na Chamanz Dar es salaam kumekuwa na umeme wa mgao usio na kipimo siku ya TATU sasa umeme Changamoto. Hii nchi tatizo la umeme hautoisha wapigaji ni wengi.
Mbagala na Chamanz Dar es salaam kumekuwa na umeme wa mgao usio na kipimo siku ya TATU sasa umeme Changamoto. Hii nchi tatizo la umeme hautoisha wapigaji ni wengi.
K kikuna JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 2,573 Reaction score 2,807 Mar 12, 2024 #2 kama huwezi kuishi hama nchi...sisi tumezoea tangia tunazaliwa mpka leo tuna watoto...umeme hukatika..na kufurahia ukirudi....uooooooh
kama huwezi kuishi hama nchi...sisi tumezoea tangia tunazaliwa mpka leo tuna watoto...umeme hukatika..na kufurahia ukirudi....uooooooh
S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 12,699 Reaction score 22,598 Mar 12, 2024 #3 Lakini Watanzania tulivyo mazuzu, utakuta hao hao wanaotudanganya kuhusu umeme, ndio hata kesho tunawapigia kura wawe viongozi wetu, halafu tunaendelea kulalamika wanapotudanganya kuhusu umeme. Huu ni umbuzi.
Lakini Watanzania tulivyo mazuzu, utakuta hao hao wanaotudanganya kuhusu umeme, ndio hata kesho tunawapigia kura wawe viongozi wetu, halafu tunaendelea kulalamika wanapotudanganya kuhusu umeme. Huu ni umbuzi.