Mbagala rangi tatu

Mbagala rangi tatu

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Eti wakuu kwa wanaofahamu Mbagala kuna sehemu inaitwa Mbagala rangi tatu hivi huwa najiuliza ni rangi gani na gani? iyo Mbagala rangi tatu? nisaidieni bandugu......
 
Majitu yote humu ni majinga. Hayajui jibu hadi leo.
 
Kuna sheria kila muuza rangi lazima achague rangi tatu za kuuza ili kugawama ridhiki hivyo ndo wakaita rangi tatu, kwa msaada zaidi nenda gugo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ss wengine tunapita
 
eti wakuu kwa wanaofahamu mbagala kuna sehemu inaitwa mbagala rangi tatu hivi huwa najiuliza ni rangi gani na gani? iyo mbagala rangi tatu? nisaidieni bandugu......


Maeneo mengi, udongo wake mweupe. Ukichimba chini bado udongo ni mweupe. Sehemu nyingine udongo ni mwekundu. Ukichimba chini udongo ni mwekundu. Lakini kwa Mbagala Rangi tatu, ukichimba ardhini unakutana na udongo rangi tatu, na siyo rangi moja. Na hiyo ndiyo historia ya jina la "Rangi Tatu".
 
Back
Top Bottom