Mbagala Zakhiem paheshimiwe sana pana maajabu yake

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Katika eneo ambalo linaendana huduma masaa 24 basi Mbagala Zakhiem pale ni kiboko sijawahi kuona,

Nilishawahi kutokea Mtwara nikasimama pale saa 9 usiku, nikapata.mchicha fresh,samaki fresh,matunda na mahitaji mengine utasema mchana, wale jamaa wanamaanisha maana ya jiji linavyotakiwa kuwa pale ni kiboko.
 
ukiona sehemu watu hawalali 24/7 wanazisaka hiyo ni ishara hapo kuna pesa, wachagga na wakinga mmepasahau sana mbagala nendeni mkafanye biashara aseeeh!
 
ukiona sehemu watu hawalali 24/7 wanazisaka hiyo ni ishara hapo kuna pesa, wachagga na wakinga mmepasahau sana mbagala nendeni mkafanye biashara aseeeh!
Pako poa
 

Mbona hujamalizia...ulipata na makonde mwenzako fresh akiwa ametokea Ntwara πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mbagala ni mtaa wa watu masikini sana.ndo maana hawalali.hebu njoeni masaki tunalala saa mbili na hata kibaka hakatizi walinzi kama wote na difenda linapaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…