Mbaguzi wa Fabrice Muamba kwenda jela

Mbaguzi wa Fabrice Muamba kwenda jela

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
[h=1]Mbaguzi wa Muamba kwenda jela[/h]
27 Machi, 2012 - Saa 13:29 GM


120319185739_liam_stacey_304x171_bbc_nocredit.jpg


Mahakama ya Uingereza imemfunga jela mwanafunzi aliyeweka ujumbe wa kibaguzi uliomkejeli Fabrice Muamba katika mtandao wa Twiteer. Mcheza soka huyo alizirahi baada ya moyo wake kusimama wakati akichezea klabu yake mapema mwezi huu.
Liam Stacey amekiri kuchochea chuki za rangi ambapo amesukumwa jela siku 56. Muamba amepata nafuu japo yungani katika chumba cha wagonjwa mahututi. Mchuano wa FA kati ya klabu yake ya Bolton na Tottenham ambao ulisimamishwa baada yake kuzirahi unachezwa tena leo usiku.

source=bbc
 
Mi mtu anapoowa/kuolewa na mzungu anakuwa katika taabu kubwa sana cheki mablack wanaoish ulaya na amerca wanaowa/kuolewa na black wenzao.wazungu ni viumbe wa ajabu na dharau nying alafu huyu ni bwana mdogo fikiria wakubwa zake wanafanya je?
 
Back
Top Bottom