Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea kama tukio lilirekodiwa au kusimuliwa. Kama lilirekodiwa anayebakwa halii, hafurukuti wala kuonesha nia ya kujinasua na zaidi hajakufa wala kupoteza fahamu, huko si kubakwa tena.Mbakwaji anapobakwa na kushiriki tendo kwa hisia, ama kukata viuno au kumkumbatia mbakaji na hadi naye kupata orgasm/kupiga bao,you, inamuondolea mbakaji kosa kwasababu mbakwaji alifurahia tendo wakati akibakwa?!
Ndio nimejiunga ili niandike uzi. Hahaha kuna watu mnadhani uzee ni uungu! Ni ukomavu tu, watoto na wazee wote binadamu.Mkuu imebidi nikuchunguze nikagundua kuwa umejiunga JF jumatatu yani hata wiki hujafikisha Ndo nikapata picha ya ulivyoelezea Uzi wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna wazee mafala tu au sioNdio nimejiunga ili niandike uzi. Hahaha kuna watu mnadhani uzee ni uungu! Ni ukomavu tu, watoto na wazee wote binadamu.
Hahaha lakini ukianza kumwambia mkabaji umevaa boxer na kuna hela zingine huko, na zingine umeziweka kwrnye soksi, bila kuulizwa ni kushiriki kwenye ukabaji au ni kutoa sadaka/zaka.Kwani unapopigwa roba na ukatoa kila ulichonacho inamuondolea jinai yule aliyekupiga roba???
Asikusumbue,Jf sio ya ukoo wake.Ndio nimejiunga ili niandike uzi. Hahaha kuna watu mnadhani uzee ni uungu! Ni ukomavu tu, watoto na wazee wote binadamu.
Una prove vipi consent imetolewa au haijatolewa/kutolewa. Mbakwaji anaweza kuwa alikubalu baadaye akabadili mawazo akashitaki. Au sasa tuwe na barua za wanasheria za makubaliano.Kubaka ni kumuingilia mwanamke bila ridhaa (consent) yake.
Ridhaa ndio jambo la msingi na ni lazima itangulie tendo.
Haiwezi kukubalika ki ushahidi kuwa japo ridhaa haikuwepo mwanzano, ilitolewa baadae katikati ya tendo kwa mwanamke huyo kutoa ushirikiano na kumwaga mauno ya mahaba kama kumbikumbi.
Take note of that.
Sasa lini na wakati gani tuamini mtu kabakwa na hakupenda?! Akishitaki tuamini alibakwa au ushahidi gani tuseme sasa huyu kweli alibakwa, maana hata changudoa anaweza kubakwa, how do we prove kabakwa bila kuacha shaka?! Akilia au akipiga kelele?!Inategemea kama tukio lilirekodiwa au kusimuliwa. Kama lilirekodiwa anayebakwa halii, hafurukuti wala kuonesha nia ya kujinasua na zaidi hajakufa wala kupoteza fahamu, huko si kubakwa tena.
What is true?!Kwa case ya ubakaji this might be true!
Kwanini ashauriwe?! Ukiibiwa unasubiri ushauri kupeleka shitaka kituo cha polisi?!Kwanini mtu akibakwa anashauriwa kwenda kuripoti police station na kisha kupimwa hospital?
Mtu akiingiliwa unwillingly, yaani kwa nguvu viunge vyake vitathibitisha.
Hata mkeo ukimlala unwilling huo ni ubakaji, na wajimpima hawatampima kama amefanya mapenzi bali hupimwa ili kuona kama force imetumika.
Hivyo mambo ya viuno, mara shanga hayahesabiwi kwenye hizi case.
Khaaa jamani...!Kwani unapopigwa roba na ukatoa kila ulichonacho inamuondolea jinai yule aliyekupiga roba???