Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 11,993
- 9,212
kubakwa ndilo kosa lenyewe pasipo kuangalia kama mbakwaji alionyesha ushirikiano kwa kukatika viuno, kubakwa kama kubakwa kunatafsiri zaidi ya mbakwaji kubakwa kwa nguvu pasiporidhaa yake.Mbakwaji anapobakwa
Kuna kufanya mapenzi ya hiari na msichana ambaye hajatimia umri wa kufanya mapenzi hata Kama alitongozwa na akaonyesha ushirikiano wa kufanya mapenzi nako ni kubaka na kubakwa.
Kufanya mapenzi na mwanamke kwa ahadi ya malipo na baada ya kufanya mapenzi mwanamke asipewe malipo aliyoahidiwa nako ni kubaka hata kama alionyesha ushirikiano wakati wa kufanya mapenzi kwa kuwa ushirikiano aliokuwa anauonyesha haukuwa wa hiari yake ulikuwa ni kwa ajili ya ahadi ya kupata malipo fulani.