Phidsnipes
New Member
- Oct 8, 2026
- 3
- 0
Mbali na kampuni ya ALAF ambayo watu wengi huwa wanashauri ni kampuni gani ambayo ina stahimili hali ya hewa ya ukanda wa pwani yaani Dar es salaam kuna makampuni kadhaa ambayo mafundi hushauri mfano KINGLION BATI ZA CHENGA CHENGA, BATI KUTOKA KAMPUNI YA SUNSHARE WENYE UZOEFU NA HAYA MAMBO YA MAPAA MJE MTUPE USHUHUDA WA UIMARA WA HIZI BATI