Mbali na kampuni ya ALAF, kampuni gani ambayo ina stahimili hali ya hewa ya ukanda wa pwani

Phidsnipes

New Member
Joined
Oct 8, 2026
Posts
3
Reaction score
0
Mbali na kampuni ya ALAF ambayo watu wengi huwa wanashauri ni kampuni gani ambayo ina stahimili hali ya hewa ya ukanda wa pwani yaani Dar es salaam kuna makampuni kadhaa ambayo mafundi hushauri mfano KINGLION BATI ZA CHENGA CHENGA, BATI KUTOKA KAMPUNI YA SUNSHARE WENYE UZOEFU NA HAYA MAMBO YA MAPAA MJE MTUPE USHUHUDA WA UIMARA WA HIZI BATI
 
ALAF tu Wengine waongo waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…