PostGE2025 Mbali na kesi ya Uhaini, Dkt. Malisa afunguliwa pia kesi ya Jinai ya Makosa ya Kimtandao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
Dkt. Godfrey Malisa anakabiliwa na kesi mbili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, ambazo zote zimepangwa kutajwa tena Januari 16, 2026 baada ya kuahirishwa jana, Januari 2, 2026;

- Kesi ya uhaini namba 000028333 ya 2025, ambapo anadaiwa kuhamasisha umma kushiriki katika mikusanyiko isiyo halali kwa kumtishia Rais Samia kujiuzulu la sivyo yangefanyika maandamano makubwa nchini Desemba 9, 2025.

- Kesi ya Makosa ya Kimtandao namba 000028411 ya 2025, ambapo anatuhumiwa kuchapisha taarifa katika kurasa yake ya Youtube Novemba 2025, akimtaka Rais Samia kujiuzulu kwa kuhusika na vifo vya maelfu ya Watanzania, akifahamu kuwa taarifa hizo si sahihi zilizolenga kupotosha umma.

Pia Soma:
~ Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI
~ Dr. Malisa yuko peke yake? Ataepuka kesi ya uhaini?

​
 
Mpeni mpaka kesi ya kubaka,Baada ya kuuliza swala la raisi.Sijui hapa shaidi wa kubakwa ni raisi
 
Hili jini nyonya damu za watanganyika tunatakiwa kupambana nalo kwa kila namna kuliua kabla halijatumaliza wote
 
SIasa za ChAdEma zimewarudisha nyuma sana Wachaga. Ule umahiri wa biashara na ujasiriamali unapotea unaenda kwa Waha na Wakinga.

Ule upekee wa usomi uliokuwepo kutokana na msingi ya uchumi wa Kikoloni wao na Wahaya haupo tena, shule za kata zinatoa msomi wa shahada na chuo kikuu kila kitongoji,kijiji na kata! Jakaya Kikwete aliweza kubadilisha mfumo wa elimu kuanzia kata hadi vyuo vikuu ikawa rahisi kupatikana kwa wote. Akabadili michakato ya ajira serikalini.

Mianya ya kupachikana serikalini imefungwa, sasa hivi taasisi haziajiri zenyewe kuna tume ya ajira kila mtu anaweza pata ajira.
MAgufuli akawapunguza na kuwabana kwenye taasisi na teuzi. Wamebaki kutegemea CHadema ichukue nchi warudi kupitia huko.

1. Padri Kitima
2. Mchungaji Malisa
3.Mbowe [anaonekana msaliti]
4. Mangi Kimambi Mpare
5. Warioba [Kajisahau kuwa yeye Muikizu ila mkewe mchaga] hata kwao kule Nyamswa - Bunda hajajenga nyumba ya maana. Akifa ndio aibu yake itaonekana.
6. Ruwaichi
7. Mnyika
8.
 
SIasa za ChAdEma zimewarudisha nyuma sana Wachaga. Ule umahiri wa biashara na ujasiriamali unapotea unaenda kwa Waha na Wakinga. Ule upekee na Usomi w
Padri Kitima
Mchungaji Malisa
Mbowe
Low thinking capacity
 
Atatia akili huyo zezeta
 
Huna akili
 
Unaona umeandika jambo la maana sana eti eeeh!.. tumiankichwa chako vizuri utafika mbali sana, ila ukiendelea na matumizi ya aina hii utakuja muda hautakuacha salama.
 
Baadhi ya vijana wanajinyanyasa wao wenyewe. Wamejazwa uchochezi vichwani mwao wanaishia kumaliza hasira kwa kufungua nyuzi humu jukwaani.
Kwa hiyo huyo Mzee Malisa aliyefunguliwa kesi ya uhaini ni kijana! Mh. Tundu Lissu anayeshikiliwa gerezani kwa hila, naye ni kijana aliyejazwa uchochezi kichwani mwake!
 
Mwendo hu huu kudeal na wasiojielewa bana Pumbu acha akapumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…