mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
Ukweli mchunguSIasa za ChAdEma zimewarudisha nyuma sana Wachaga. Ule umahiri wa biashara na ujasiriamali unapotea unaenda kwa Waha na Wakinga.
Ule upekee wa usomi uliokuwepo kutokana na msingi ya uchumi wa Kikoloni wao na Wahaya haupo tena, shule za kata zinatoa msomi wa shahada na chuo kikuu kila kitongoji,kijiji na kata! Jakaya Kikwete aliweza kubadilisha mfumo wa elimu kuanzia kata hadi vyuo vikuu ikawa rahisi kupatikana kwa wote. Akabadili michakato ya ajira serikalini.
Mianya ya kupachikana serikalini imefungwa, sasa hivi taasisi haziajiri zenyewe kuna tume ya ajira kila mtu anaweza pata ajira.
MAgufuli akawapunguza na kuwabana kwenye taasisi na teuzi. Wamebaki kutegemea CHadema ichukue nchi warudi kupitia huko.
1. Padri Kitima
2. Mchungaji Malisa
3.Mbowe [anaonekana msaliti]
4. Mangi Kimambi Mpare
5. Warioba [Kajisahau kuwa yeye Muikizu ila mkewe mchaga] hata kwao kule Nyamswa - Bunda hajajenga nyumba ya maana. Akifa ndio aibu yake itaonekana.
6. Ruwaichi
7. Mnyika
8.
Sisi wachaga tumeathirika sana