PostGE2025 Mbali na kesi ya Uhaini, Dkt. Malisa afunguliwa pia kesi ya Jinai ya Makosa ya Kimtandao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukweli mchungu
Sisi wachaga tumeathirika sana
 
Sasa hivi imekuwa kawaida kutengenezewa kesi ya uongo ili kukomolewa
 
Ila Watanganyika wananyanyaswa sana na huyu Mzanzibari.
SIasa za ubaguzi za Chagadema sio nzuri bibie. Kipindi cha.
1. Kikwete - Mkashambulia Wapwani na Waislam
2. Magufuli - Mkatukana Wasukuma
3. Samia - Mnazungumzia uzanziabar na udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…