Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda,
Kila unapogusa pa moto,
Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza!
Kipindi cha JPM, tarifa zote mbaya kuhusu watanzania, zilianikwa na huyu binti, kila tarifa ya wananchi kufa njaa zilianikwa njenje na zingine za uwongo tu ili mradi watimize walichokuwa wakikitumikia
Mungu naye ni wa ajabu, kamleta sasa akae hiyo hiyo Ikulu aliyokuwa akiichambua, mambo ndo yameharibika zaidi na yeye yupo!
Sifahamu Kwa nini kwa sasa BBC hawajadili sana kuhusu maji, umeme, kupanda Kwa gharama za maisha, bidhaa za ndani kuwa juu hadi kilele cha mlima Kilimanjaro! Soda kufikia 700 ili hali inazalishwa hapa?
Ahaa! Dawa ya BBC ili wasiuseme utawala wako, ni mmoja wao kumsogeza Ikulu siyo?
Dada, mshaurini Mh Rais wetu, maana kina nyinyi, tulidhani mkiwa hapo Ikulu, mambo yatakuwa mazuri, kumbe hakuna tofauti kabisa, na ni afadhari ya wabongo wanaoyaishi maisha haya haya wanauafadhari kulikoni nyinyi mliozoelea cha wazungu, Kazi kutusimanga na kutusema bule!