Mbowe amekuwa kama Sukuma gang lia lia, kazi ni kuongelea legacy tu, utafanyia nini chama.... aaah unajua nimetoa damu na kamasi kwenye chama hiki, nipeni niwaongoze tena
Mchango tumesikia hadi tumechoka, afu sio yeye tu ndio amejenga chama, ni kama alijeng mwenyewe kila kitu bila kusaidiwa na mtu.