Pre GE2025 Mbali na legacy Mbowe ana nini cha kuwafanyia CHADEMA?

Pre GE2025 Mbali na legacy Mbowe ana nini cha kuwafanyia CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mbowe amekuwa kama Sukuma gang lia lia, kazi ni kuongelea legacy tu, utafanyia nini chama.... aaah unajua nimetoa damu na kamasi kwenye chama hiki, nipeni niwaongoze tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKLaugh:

Mchango tumesikia hadi tumechoka, afu sio yeye tu ndio amejenga chama, ni kama alijeng mwenyewe kila kitu bila kusaidiwa na mtu.

Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?

Utawafanyia nini CHADEMA kusoga mbele, ni kuwaimbia hiyo legacy?

Lissu anakuja kumpasua vipande vipande, ni fezea🥹🥹
 
Amebakiwa na salamu tuu

 
20250122_001529.jpg
 
Back
Top Bottom