Mbali na Mkataba wa Bandari ni mkataba gani mwingine ulipitishwa na vikao vya CCM?

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Wanabodi,

Naomba ufahamu kidogo Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) ilijadili na kupitisha Mkataba wa Bandari kwamba ni mzuri na una maslahi mapana ya Taifa.

Naomba kufahamu katika Historia ya nchi yetu ukiacha mkataba wa Bandari ni Mkataba gani mwingine ulijadiliwa na NEC na kupewa baraka katika utekelezaji.

Nakumbuka nchi yetu imeingia mikataba mingi Mfano wa Bomba la Mafuta la Uganda, Mikataba ya Gesi, Mikataba ya Madini, Mikataba ya LNG na mingine mingi.

Nayo imewahi kupita Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM?
 
Mkataba mwingine Mpaka utakapovuja. Ndo utapitiwa na kutolewa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom