Mbao fc 0 vs 1 Yanga | ASFC | Kirumba Mwanza

Ball Possession

Yanga 79 Mbao 21
 
Ni kitu cha kushangaza sana timu kujinasibu kuwa tunataka makombe yote tuyabebe msimu huu halafu kwenye mechi muhimu ya mtoani baada ya kikosi kile kile cha ushindi unaweka wakina boksa na akina Mauya.
 
Kibuyu Kinaniambia Ushindi upo kipindi cha pili.
 
Dah! Mwananchi hii mechi leo inanipita hivi hivi! Hii safari leo ilikuwa haikwepeki kabisa!

Ngoja tu niendelee kufuatilia kwa shingo upande updates za huyu mamluki wa Moo - Scars
 
Ni kitu cha kushangaza sana timu kujinasibu kuwa tunataka makombe yote tuyabebe msimu huu halafu kwenye mechi muhimu ya mtoani baada ya kikosi kile kile cha ushindi unaweka wakina boksa na akina Mauya.
Wachezaji sita wa kikosi cha Kwanza hawana sifa ya kucheza leo.
 
Ni kitu cha kushangaza sana timu kujinasibu kuwa tunataka makombe yote tuyabebe msimu huu halafu kwenye mechi muhimu ya mtoani baada ya kikosi kile kile cha ushindi unaweka wakina boksa na akina Mauya.
Uliona wapi team ambayo kikosi ni kile kile mashindano yote? ina maana hao wengine wamesajiliwa kufanya nn?
 
Kuna Muda Azam Takwimu Wanadanganya Sana

Eti Possession ni 79% kwa 21%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…