Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosa lake nini wana create nafasi goli halipatikani unataka afanyeje?Ubunifu umepotea pale kati... Mauya ni mzigo wa mwiba ukiubeba unaumia
Pole na maumivuYanga hakuna timu ni vile tu bado hajatembea sana mikoani kwenye viwanja vyenye kinyaa hata chichidodo tu hatui
Wachezaji sita wa kikosi cha Kwanza hawana sifa ya kucheza leo.Ni kitu cha kushangaza sana timu kujinasibu kuwa tunataka makombe yote tuyabebe msimu huu halafu kwenye mechi muhimu ya mtoani baada ya kikosi kile kile cha ushindi unaweka wakina boksa na akina Mauya.
Kama kagera sugar walivyo fanyabado hawajafungwa
Maumivu gani? Sema nyie wananchi mmejaliwa na hasira na nguvu, ngoja nikae kimya icje nikapigwaPole na maumivu
Uliona wapi team ambayo kikosi ni kile kile mashindano yote? ina maana hao wengine wamesajiliwa kufanya nn?Ni kitu cha kushangaza sana timu kujinasibu kuwa tunataka makombe yote tuyabebe msimu huu halafu kwenye mechi muhimu ya mtoani baada ya kikosi kile kile cha ushindi unaweka wakina boksa na akina Mauya.
Una maumivu makali sana umechezea double vimoko mikoaniMaumivu gani? Sema nyie wananchi mmejaliwa na hasira na nguvu, ngoja nikae kimya icje nikapigwa
Kumbe kunakuwaga na vigezo. Sifa kama zipi hizo mkuu? Duh kazi ipoWachezaji sita wa kikosi cha Kwanza hawana sifa ya kucheza leo.
Nafasi gani kacreate mtu kutoa pasi mbaka ajishauri Massa 6Kosa lake nini wana create nafasi goli halipatikani unataka afanyeje?
Hapo ni kweli mpira sio possession tu Kuna vitu vingi labda we una matazamo gani? Maana yanga kamiliki mpira muda mrefu zaidiKuna Muda Azam Takwimu Wanadanganya Sana
Eti Possession ni 79% kwa 21%
Kacheza wewe sasaNafasi gani kacreate mtu kutoa pasi mbaka ajishauri Massa 6
Kwani we hauna miguuKacheza wewe sasa