Mbao fc 0 vs 1 Yanga | ASFC | Kirumba Mwanza

Mbao fc 0 vs 1 Yanga | ASFC | Kirumba Mwanza

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Hatua ya 32 bora kombe la Azam Sports Federation kuendelea kuunguruma
leo. Yanga SC wapo dimba la CCM Kirumba kumenyana na Mbao FC.

Je Mbao wataweza isimamisha Yanga
SC? Mtanange huu utaruka mubashara hapa JF kuanzia Saa 10 Kamili.

View attachment 2099657
View attachment 2099658

UPDATES:

-Mvua Kubwa Inanyesha Hapa CCM Kirumba Lakini Uwanja Bado Uko Imara Sana Kwa Mchezo huu kupigwa.

UPDATES

00” Mpira Umesha Aanza Hapa CCM KIRUMBA

05” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

07” Yanga Sc Wanapata Kona

09” Yanga Sc Wanapata Kona Ya Pili

10” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

15” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

20” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

25” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

30” Yanga Sc Wanapata Kona

30” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

35” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

40” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

43” Yanga Sc Wanapata Free Kick

45” Yanga Sc Wanapata Kona

45” Yanga Sc Wanapata Kona

Dakika Mbili Za Nyongeza kabla ya Half Time

45 + 1” Kipa Wa Mbao Anapata Majeraha baada ya Kuokoa Shoot Kali

45 +2” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

Mpira ni Half Time Yanga Sc 0 Mbao FC 0

TAKWIMU ZA KIPINDI CHA KWANZA

View attachment 2099748


45” Kipindi Cha Pili Kimeanza

Yanga Sc 0 Mbao FC 0

50” Yanga Sc 0 Mbao FC 0

53” Yanga Sc 1 Mbao Fc 0

56” Yanga Sc Wanapata kona

59” Rubein Aloyce Anapata Kadi Ya Njano

60” Yanga Sc Wanapiga Free Kick

61” Yanga Sc Wanapata Kona

62” Yanga Sc Wanapata Kona

70” Yanga Sc 1 Mbao Fc 0

75” Yanga Sc 1 Mbao Fc 0

80” Zawadi Mauya Anaoneshwa Kadi Ya Njano

80” Yanga Sc 1 Mbao Fc 0

81” Mbao Fc Wanapata Kona

85” Yanga Sc 1 Mbao Fc 0

90” Yanga Sc 1 Mbao Fc 0

Dakika 2 za Nyongeza Kabla ya Mchezo Kumalizika

FT Yanga Sc 1 Mbao Fc 0
 
Na hii mvua mkuu ! Ni hatari labda wacheze saa moja
Hatua ya 32 bora kombe la Azam Sports Federation kuendelea kuunguruma
leo. Yanga SC wapo dimba la CCM Kirumba kumenyana na Mbao FC.

Je Mbao wataweza isimamisha Yanga
SC? Mtanange huu utaruka mubashara hapa JF kuanzia Saa 10 Kamili.
!
 
Kama kawaida wana yanga wako nyuma wanaskizia upepo wajue wanakuja vipi

Hapo ndo tunapo feli kama wananchi
 
haka ka tabia ka kugawa jezi ndo kuliwagharamu kwenye derby
 
Okay, ngoja tuone nani atasonga mbele
 
Huyu Mchambuzi Amekariri, Mbona Anacho Chambua Ni Tofauti na Tunacho Kiona.
 
Dakika ya 11 yanga wakiwa wamepiga mashuti mawili yalioyoenda nje ya lango huku mbao wakiwa hawajalenga mpira wowote nje ya lango
 
Ilikuwa header nzuri sana lakini goli kipa wa yanga alikaa imara
 
Hawa mbao wanacheza kwa kujihami sana
 
Yassin mustafa kalambashwa nyasi huko
 
Mbao wanacheza kwa umoja sana, wachezaji wote wanapanda na kushuka

Mpira ukirudi eneo lao kushambulia wanashuka wote kukaba, nimependa hii spirit yao
 
Back
Top Bottom