Mbao FC na Mwadui FC.. Tunakuja Kuchukua Point Zetu 6.

Mmh, sawa mkuu, kila la heri, lakini kwa kiwango cha mchezo ule mliocheza na Ndada, sijui, labda mbadilike.

Vv
 
Sitaki kujipa matumaini ya kitoto. Nimetazama mechi zote za preseason mpaka hizi 3. Simba haiaminiki
 
Mkuu kua na subira.. Mnyama anabadilishia gia kanda ya ziwa
Gia za kupepea kama za gari Fiati au Iveco zile za kitambo. Huko ndo mnaenda kupigwa kabisa haswa pale Kambarage hamtoki
 
Gia za kupepea kama za gari Fiati au Iveco zile za kitambo. Huko ndo mnaenda kupigwa kabisa haswa pale Kambarage hamtoki
Mkuu tukutane hapa baada ya gemu ya Mwadui.. Ili tupeane tathmini.
 
Mkuu kwenye ile game na Ndanda mbona hukutokea kwènye tathmini? Au tathmìni mpaka mshinde?
Hahaha.. Mkuu mbona nilikuwepo.. Tena nilikua siti ya mbele, upande wa kulia.. We ilikua pande zipi?
 
Umesahau pia ipo mechi yanga waliongoza kipindi cha kwanza 3-0 na baada ya mapumziko kipindi cha pili simba ikarudisha magoli yote, then zilipofika dakika za mwisho vyura wakavua vyupi wakavaa kichwani huku wakitupa njumu zao na kuvaa ndala! Kilichowaokoa ni kipenga cha refa...
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…