Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masoud Djuma mmemuacha dar mkuu, hii haitaleta shida kwenye hizi mechi?Kweli Mkuu, Mbao FC na Mwadui FC lazima wapigwe tu, maana hakuna namna.
Mmh, sawa mkuu, kila la heri, lakini kwa kiwango cha mchezo ule mliocheza na Ndada, sijui, labda mbadilike.Mkuu tangu dunia hii iumbwe, hakuna klabu yoyote iliyowahi kuchukua ubingwa kwa kushinda mechi zote (lazima idroo hata menchi moja).. Simba SC ni nani mpaka asidroo?!
Kwa maelezo zaidi pitia hapa: Chemsha Bongo.. Mshindi Kujinyakulia Kitenge toka Nchini Kongo. - JamiiForums unaweza jinyakulia kitenge.
Lakini hii sababu ya kutuzuia kuchukua point zetu 6 kanda ya ziwa. Point hizi 6 tuna kazi nazo.. Itabidi Mbao na Mwadui watusamehe tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vyura wanahisi baridi kazi ipo hapoVyura mtakoma siku hiyo...
View attachment 869477
Aisee vyura watapata tabu sanaANGALIZO: Haruna Niyonzima na Juuuuurko Murshid nao wamo katika safari hii.
Mkuu umepunguza sanaaa hizo tano hapo tunamwongelea kagere tu bado wale jamaa wawiliYanga wasipokula tano siku hiyo natembea uchi ubungo mpaka kariakoo
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Iangalie kwenye viwango vya club bora Africa. Wakimzidi Azam Mimi kuanzia Leo sitaamini tena kwamba Simba ni Mbumbumbu FC
Gia za kupepea kama za gari Fiati au Iveco zile za kitambo. Huko ndo mnaenda kupigwa kabisa haswa pale Kambarage hamtokiMkuu kua na subira.. Mnyama anabadilishia gia kanda ya ziwa
Ni bora wewe umekuwa mkweli, mwambie Sembo hii Timu itamuua bure!!!Sitaki kujipa matumaini ya kitoto. Nimetazama mechi zote za preseason mpaka hizi 3. Simba haiaminiki
Mkuu kwenye ile game na Ndanda mbona hukutokea kwènye tathmini? Au tathmìni mpaka mshinde?Mkuu tukutane hapa baada ya gemu ya Mwadui.. Ili tupeane tathmini.
Hukawii kuwa eneo korofiMkuu sina hiyo tabia.. Tutakua hapa hapa hadi Mnyama atakapokabidhiwa kombe lake mwakani mwezi wa kwanza mwishoni au wa 2 mwanzoni.
Umesahau pia ipo mechi yanga waliongoza kipindi cha kwanza 3-0 na baada ya mapumziko kipindi cha pili simba ikarudisha magoli yote, then zilipofika dakika za mwisho vyura wakavua vyupi wakavaa kichwani huku wakitupa njumu zao na kuvaa ndala! Kilichowaokoa ni kipenga cha refa...Umenifurahisha hapo uliposema baada ya dk 45 hawatarudi. Historia iliyopo ni kwamba Simba walishawahi pigwa 3 kipindi cha kwanza na Ndala kisha wakaingia mapumziko. Kipindi cha pili Yanga wamerudi uwanjani wanapasha pasha kidogo Mara paap! Simba wanarudi na nguo za nyumbani na washagomea kuendelea hukohuko vyumbani kwa kuhofia fedheha zaidi. Wenye kumbu kumbu nzuri na hili watueleze
HahahaUmesahau pia ipo mechi yanga waliongoza kipindi cha kwanza 3-0 na baada ya mapumziko kipindi cha pili simba ikarudisha magoli yote, then zilipofika dakika za mwisho vyura wakavua vyupi wakavaa kichwani huku wakitupa njumu zao na kuvaa ndala! Kilichowaokoa ni kipenga cha refa...