Mkuu ebu tupeane tathmini sasaMkuu tukutane hapa baada ya gemu ya Mwadui.. Ili tupeane tathmini.
Naòmba matokeo ya mechi ya leo ya simba kikosì kipanaMakwasukwasu FC mwisho wao ni Sept 30 watatafutana
Unayo..acha kujitoa fahamu..Yes Simba SC kikosi kipanaNaòmba matokeo ya mechi ya leo ya simba kikosì kipana
Baada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa atacheza mechi zifuatazo;
Mechi: Mbao FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kirumba, Mwanza
Tarehe: 20/09/2018.
Mechi: Mwadui FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kambarage, Shinyanga.
Tarehe: 22/09/2018
Simba SC akiwa na point zake 6 mfukoni alizozipata kanda ya ziwa, 27/09/2018 atacheza dhidi ya Biashara United katika dimba laTaifa Stadium, tarehe
Baada ya gemu hiyo kinachofuata, ni ile 'sikukuu' yetu dhidi ya Ndala. Naamini kama jamaa hawatagoma kuingiza timu siku hiyo, basi baada ya Dk. 45 hawatarudi uwanjani.
"Jamani Eeeeeh.. huyu Mnyama kashajeruhiwa, na sote tunajua Simba akijeruhiwa kipi kinafuata.. Natanguliza pole zangu za dhati kwa timu zote (hasa hasa Ndala) zinazoenda kukutana nae kuanzia hivi sasa" - Sembo
Nikiripoti toka Julius Nyerere International Airport.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
Punguza jaziba muzee, hayo NAYO ni matokeo halali kabisa. Hats hivyo ligi ndiyo inaanza, ni suala LA kujipanga na kuacha kujipa promo bandia mkuu.Unayo..acha kujitoa fahamu..Yes Simba SC kikosi kipana
Mkuu nipo Nanyamba Mtwara vijìjini kijiji cha Njengwa sina matokeò ya simba mečhi ýa lèoUnayo..acha kujitoa fahamu..Yes Simba SC kikosi kipana
Mkuu matokeo unayo au nikujuze?Baada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa atacheza mechi zifuatazo;
Mechi: Mbao FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kirumba, Mwanza
Tarehe: 20/09/2018.
Mechi: Mwadui FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kambarage, Shinyanga.
Tarehe: 22/09/2018
Simba SC akiwa na point zake 6 mfukoni alizozipata kanda ya ziwa, 27/09/2018 atacheza dhidi ya Biashara United katika dimba laTaifa Stadium, tarehe
Baada ya gemu hiyo kinachofuata, ni ile 'sikukuu' yetu dhidi ya Ndala. Naamini kama jamaa hawatagoma kuingiza timu siku hiyo, basi baada ya Dk. 45 hawatarudi uwanjani.
"Jamani Eeeeeh.. huyu Mnyama kashajeruhiwa, na sote tunajua Simba akijeruhiwa kipi kinafuata.. Natanguliza pole zangu za dhati kwa timu zote (hasa hasa Ndala) zinazoenda kukutana nae kuanzia hivi sasa" - Sembo
Nikiripoti toka Julius Nyerere International Airport.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
Mpaka sasa nafkiri ushaanza kunielewaHahaha.. Sawa Mkuu.
Naona mshanyakua point 3 tayari[emoji1] [emoji1] [emoji1]Baada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa atacheza mechi zifuatazo;
Mechi: Mbao FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kirumba, Mwanza
Tarehe: 20/09/2018.
Mechi: Mwadui FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kambarage, Shinyanga.
Tarehe: 22/09/2018
Simba SC akiwa na point zake 6 mfukoni alizozipata kanda ya ziwa, 27/09/2018 atacheza dhidi ya Biashara United katika dimba laTaifa Stadium, tarehe
Baada ya gemu hiyo kinachofuata, ni ile 'sikukuu' yetu dhidi ya Ndala. Naamini kama jamaa hawatagoma kuingiza timu siku hiyo, basi baada ya Dk. 45 hawatarudi uwanjani.
"Jamani Eeeeeh.. huyu Mnyama kashajeruhiwa, na sote tunajua Simba akijeruhiwa kipi kinafuata.. Natanguliza pole zangu za dhati kwa timu zote (hasa hasa Ndala) zinazoenda kukutana nae kuanzia hivi sasa" - Sembo
Nikiripoti toka Julius Nyerere International Airport.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
Acha kupaniki basi si utoe matokeo!? Wengine hatunaUnayo..acha kujitoa fahamu..Yes Simba SC kikosi kipana
Mmepata habari yenu kwa mbao. Mikia pooreni thanaKwa jinsi timu ilivyo na "munkari".. Natamani hata tukifika leo Mwanza, jioni tucheze na Mbao.
Sijui kapotelea wapi na point zake 6Jamaa mwenye uzi kafa
Msema kweli ni mpenzi wa MunguSitaki kujipa matumaini ya kitoto. Nimetazama mechi zote za preseason mpaka hizi 3. Simba haiaminiki
yupo centro kwa kosa la kuongopea jopoJamaa mwenye uzi kafa
Mkuu ni kweli subira muhimuMkuu kua na subira.. Mnyama anabadilishia gia kanda ya ziwa