Mbao FC na Mwadui FC.. Tunakuja Kuchukua Point Zetu 6.

Haya tumekusikia, ila nasikia Leo mmeliwa kiboga kimoja. Ahaaa natania mkuu.
Baada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa atacheza mechi zifuatazo;

Mechi: Mbao FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kirumba, Mwanza
Tarehe: 20/09/2018.

Mechi: Mwadui FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kambarage, Shinyanga.
Tarehe: 22/09/2018

Simba SC akiwa na point zake 6 mfukoni alizozipata kanda ya ziwa, 27/09/2018 atacheza dhidi ya Biashara United katika dimba laTaifa Stadium, tarehe

Baada ya gemu hiyo kinachofuata, ni ile 'sikukuu' yetu dhidi ya Ndala. Naamini kama jamaa hawatagoma kuingiza timu siku hiyo, basi baada ya Dk. 45 hawatarudi uwanjani.

"Jamani Eeeeeh.. huyu Mnyama kashajeruhiwa, na sote tunajua Simba akijeruhiwa kipi kinafuata.. Natanguliza pole zangu za dhati kwa timu zote (hasa hasa Ndala) zinazoenda kukutana nae kuanzia hivi sasa" - Sembo

Nikiripoti toka Julius Nyerere International Airport.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
 
Unayo..acha kujitoa fahamu..Yes Simba SC kikosi kipana
Punguza jaziba muzee, hayo NAYO ni matokeo halali kabisa. Hats hivyo ligi ndiyo inaanza, ni suala LA kujipanga na kuacha kujipa promo bandia mkuu.
 
Baada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa atacheza mechi zifuatazo;

Mechi: Mbao FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kirumba, Mwanza
Tarehe: 20/09/2018.

Mechi: Mwadui FC VS Simba SC
Uwanja: CCM Kambarage, Shinyanga.
Tarehe: 22/09/2018

Simba SC akiwa na point zake 6 mfukoni alizozipata kanda ya ziwa, 27/09/2018 atacheza dhidi ya Biashara United katika dimba laTaifa Stadium, tarehe

Baada ya gemu hiyo kinachofuata, ni ile 'sikukuu' yetu dhidi ya Ndala. Naamini kama jamaa hawatagoma kuingiza timu siku hiyo, basi baada ya Dk. 45 hawatarudi uwanjani.

"Jamani Eeeeeh.. huyu Mnyama kashajeruhiwa, na sote tunajua Simba akijeruhiwa kipi kinafuata.. Natanguliza pole zangu za dhati kwa timu zote (hasa hasa Ndala) zinazoenda kukutana nae kuanzia hivi sasa" - Sembo

Nikiripoti toka Julius Nyerere International Airport.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
Mkuu matokeo unayo au nikujuze?
 
Naona mshanyakua point 3 tayari[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom