Mbao, haikufaa rangi kwa Simba na Yanga chokaa itafaa?

Mbao, haikufaa rangi kwa Simba na Yanga chokaa itafaa?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kocha wa Mbao FC usihame club yako kwa kuhadaika na vilabu vikubwa ambavyo vimeshindikana hata kwa makocha wa kimataifa kutoka ulaya, haikufaa rangi wewe chokaa utafaa?. Kaa hapohapo utengeneze pesa kwa kutengeneza wachezaji wa kuwauzia Simba, Yanga na wengine kwa bei kubwa. Usijali pesa jali amani na furaha, Simba na Yanga hakuna furaha wala amani.
 
Pesa ndio kila kitu utakuwaje na furaha bila Pesa? .Mbao ilikaribia kushuka daraja nenda msimbazi kapige pesa

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Pesa ndio kila kitu utakuwaje na furaha bila Pesa? .Mbao ilikaribia kushuka daraja nenda Jangwani kapige pesa

Sent from my Lenovo B2020-b using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom