mbao kutoka iringa

mbao kutoka iringa

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
1,663
Reaction score
420
wanaJF habari.Ninahitaji msaada wenu kwa mtu yeoyote mwenye connection ya mbao kutoka iringa,nahitaji mbao piece kama eflu mbili za 2 by 4,akinipa na bei tafurahi zaidi.ni mbao za kujengea .Ahsanteni
 
Ni..PM..TAKUUNGANISHA NA DOGO HARAKA, YUPO MUFINDI

Back
Top Bottom