Mbao ndio timu ya kitoto/hovyo kuwahi kutokea

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Timu inaitwa big team results oriented
Inawasaidia nini km inafungwa na timu zinazoshika mkia!!!!??
Kama timu inazifunga au kusumbuana na Simba, Azam au Yanga leo hii inafungwa na Mwadui fc si utoto huo!!!!???
Pum......... vu zenu
 
Ndala wanaijua shughuli ya mbao na ndio kazi tuliyo watumia... Vyura fc tulieni..thi is simba brother
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Tatizo lako wewe ni mshangiliaji, umejua mpira baada ya kuanza kubeti.
 
mtoa mada sasa kinachokuboa hapo ni nin hujui mpira ulivyo au kanji kakupulusa ?hyo ni kawaida tu hata huko majuu team zinafungwa na vbonde
 
Ndala wanaijua shughuli ya mbao na ndio kazi tuliyo watumia... Vyura fc tulieni..thi is simba brother
Ndala wanaijua shughuli ya mbao na ndio kazi tuliyo watumia... Vyura fc tulieni..thi is simba brother
Ndala wanaijua shughuli ya mbao na ndio kazi tuliyo watumia... Vyura fc tulieni..thi is simba brother
Mimi ni shabiki wa Simba tangu 1992 nikiwa na miaka 7. Lakn staili ya Mbao fc sijailewa. ikumbukwe kuwa mwaka jn waliponea tundu la sindano kushuka daraja ilhali waliifunga Yanga.
Stupidity. Na wasipoangalia watashuka daraja
 
Timu inaitwa big team results oriented
Inawasaidia nini km inafungwa na timu zinazoshika mkia!!!!??
Kama timu inazifunga au kusumbuana na Simba, Azam au Yanga leo hii inafungwa na Mwadui fc si utoto huo!!!!???
Pum......... vu zenu
Povu hili la foma
 
Back
Top Bottom