Na mshukuru chama cha nambari wani kuweka viti vya zege kwenye uwanja wa kirumba jana mngetia aibuHakuna mashabiki mbumbumbu duniani kama wa simba mling'oa vitī vya uwanja mzima baada ya kutundikwa golì
Leo tuliingia na Chainsaw, kiboko ya kuchana mbaoUje nawashangaa Mkuu. Omba omba anategemea ye apewe sasa anatowaje kwa mfano.
Ila nimefurahi sana tulivyouvunja mwiko maana Mbao walikuwa walitunyanyasa sana kila tukifika CCM Kirumba.
Yaah. Hiyo hiyo.Leo tuliingia na Chainsaw, kiboko ya kuchana mbao
Hahahaaa. Sawa Mtani.
Hivi umejisikiaje na matokeo ya jana? 😜😜
Hahaha. Kama nyie Munavyotupatisha tabu Mukishinda Mtani.Yani Mukibahatisha Munakuwa Muna Tabu Nyinyi! 😡😡
Bora muendelee tu kupata shida ili Amani itawale.
Hahahaaa. Bora umemwambia kipigo cha Mbwa mwizi kinaanzia 05. [emoji12][emoji12]
Shooga naona ulikuja kwa kuchelewa.
Siwezi jisikia vizuri... Naona mlimpata wakumtolea machunguHahahaaa. Sawa Mtani.
Hivi umejisikiaje na matokeo ya jana? [emoji12][emoji12]
HahahahaYaah. Hiyo hiyo.
Imebidi nikaigoogle aiseee maana uliniacha Mkuu. [emoji85][emoji85][emoji85] Mie nazijuaga Randa na Misumeno.
😂😂😂 Mwenzio huwa jioni nina mambo mambo ambayo yananibana saa nyingine na ndio sababu siwi hewani.Si bora mimi nilikuja kwa kuchelewa ila nilikuwahi? Inaonekana wewe hukuwa umeamini kama tumeshinda 🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nipo shemela.wapi shemela Sheedeya
Pole Mtani. Kabisaaaa.Siwezi jisikia vizuri... Naona mlimpata wakumtolea machungu
Anything for love
Ndio rafiki. 🙈Hahahaha
MTC | 101| [emoji769]
Niko vizuro aiseeDuuh! Haya bana Swahiba.
Bukheri lakini?
Ndio rafiki. [emoji85]
He will certainly spend the money. But the leftovers won't be swallowed.Mo Dewji’s purse is the assurance.
Mwisho ulikuaje, [emoji16][emoji16][emoji16]Hili jamaa likaba mpaka kivuli. Yupo upande wetu hapa pitch ni hatari,nitahama naye second time