Mbao vs Yanga

Mbao vs Yanga

Hakuna mashabiki mbumbumbu duniani kama wa simba mling'oa vitī vya uwanja mzima baada ya kutundikwa golì
Na mshukuru chama cha nambari wani kuweka viti vya zege kwenye uwanja wa kirumba jana mngetia aibu
 
Hahahaaa. Bora umemwambia kipigo cha Mbwa mwizi kinaanzia 05. [emoji12][emoji12]

Shooga naona ulikuja kwa kuchelewa.

Si bora mimi nilikuja kwa kuchelewa ila nilikuwahi? Inaonekana wewe hukuwa umeamini kama tumeshinda 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si bora mimi nilikuja kwa kuchelewa ila nilikuwahi? Inaonekana wewe hukuwa umeamini kama tumeshinda 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
😂😂😂 Mwenzio huwa jioni nina mambo mambo ambayo yananibana saa nyingine na ndio sababu siwi hewani.

Hahahaaaa. Kiukweli nimekuja kujua matokeo usiku basi nikawa na kazi ya kuangalia magoli youtube.

Ila nimefurahi tumevunja mwiko kwa hao Mbao.
 
Mpuuzi Mbona huendelei second half hahaha...UTAKUWA MIKIA WEWE SECOND HALF BALAAA WAMEPELEKESHWA SIO MCHEZOOOOOO....
MAKAMBOOOOO...
 

Attachments

  • MAKA MBO.JPG
    MAKA MBO.JPG
    29.6 KB · Views: 19
Back
Top Bottom