OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hili jamaa likaba mpaka kivuli. Yupo upande wetu hapa pitch ni hatari,nitahama naye second timeKuna mtu anaitwa ELICK MULILO anakaba mpaka mchupi dahl Makambo akitema mate Jamaa anafukia
HahahahahaaaaMbao wanafungwa leo, watake wasitake.
Timu yetu bado sana wachezaji wanaotaliwa kuanza pale hawazidi wanne
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari Yake imewadiaNimeanza kuwaonea huruma vyura,namuonea huruma zaidi kocha. Atasema nini kipya shabiki wameelewe
Simu zao zimestack hawawezi kukupa matokeo kama awaliKuna mtu kaliwa Tigo ccm kirumba tupeni matokeo basi jamani au ni yule changudoa wa jangwani?
Sent using Jamii Forums mobile app