OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hili jamaa likaba mpaka kivuli. Yupo upande wetu hapa pitch ni hatari,nitahama naye second timeKuna mtu anaitwa ELICK MULILO anakaba mpaka mchupi dahl Makambo akitema mate Jamaa anafukia