Mbao vs Yanga

Kuna timu yenye uwezo na ubora Africa Mashariki Kama simba?

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea ni mtu wa aina gani anayetoa kauli yenye msimamo kama huo...Wako waliowahi kusema uwezo wa Simba sawa na Barcelona...wengine wakasema hii Simba ni ya sayari nyingine....waliosema hivyo waliaminiwa na wafuasi au wenzao...hata wewe Ndugu yangu kwa kauli yako hii bila shaka unaungwa mkono na wengi ...ni uhuru wa kutoa maoni...Ila kutoa maoni na kauli ni jambo moja na uhalisia wa kauli kama hiyo hapo ndipo lilipo tatizo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…