chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Mpesa imefanya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi sasa mcongo na misri wamewatafuna 10-1😛😛
Omba omba ana Mpesa?Mpesa imefanya kazi
Mkuu simba na wenzao ni misukule dunian hawapo akhera hawapoMaiti inaongoza ligi. Hao wengine ni mizoga?
Wewe hukuona kipindi Cha 2 Mbao walivyolegea vileOmba omba ana Mpesa?
Lete points mkuuHadi sasa mcongo na misri wamewatafuna 10-1😛😛
Nilimpotezea nikujua Yanga itakojolewa tenaVip huyu jamaa anaekaba hadi kivuli ulihama nae second half mkuu?
Mechi ya kwanza Yanga hawakuja uwanjani kwa wingiMechi ya kwanza tuliwachangia nyingi zaidi.
Uyo ndo katuletea goli la piliKuna mtu anaitwa ELICK MULILO anakaba mpaka
chupi dahl Makambo akitema mate Jamaa anafukia
Si nasema yanga omba omba haina pesa imekuwaje hapo mnateseka
Kama ubora ni kufungwa goli 10 katika mechi 2 sawa nakubaliana nawe
Walirudi nyuma kukalia kimoja, walienda mbele kukata viuno tuMbona tuliwaona Yanga wakienda mbele na kurudi nyuma hiyo JUmamosi iliyopita??!!!