Khaaa! Yanga si mnatuita ombaomba, hiyo hela ya M pesa tutaitoa wapi? Mmeumia sana leo na bado....Mpesa imefanya kazi
Naona unatoa uzooefu wenu mkuu mnavyo fanyaga.Wewe hukuona kipindi Cha 2 Mbao walivyolegea vile
Kile Ni kiwango Cha Tigo pesa au M pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga bingwa 2018-2019
Yanga sio timu ya Wananchi tena bali timu ya Nchi.
Yanga OyeeeeeeeView attachment 1027496
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuongoza ligi kwa kucheza mechi nyingi huoni tumewatanguliza kwa baiskeli ya barafu asubuhi, hivi unaelewa baada ya jua kuwaka nini kitakufika kwenye usafiri wako?Maiti inaongoza ligi. Hao wengine ni mizoga?
Basi simba ni walking dead maana juzi hapo kawapiga changuruwe pamoja na usukule wakeMkuu simba na wenzao ni misukule dunian hawapo akhera hawapo
Mpira uwanjani...bingwa Mara 27 unabeza..alafu mnaonyesha umbumbumbu Yanga wanawaomba wanachama Na mashabiki sio watu wengine..Julio aliacha 504 yake hotelini kuwagomboa wachezaji wa Mikia ..mlipeni gari lakeLabda ubingwa wa kuomba omba
AiseeeeMpira uwanjani...bingwa Mara 27 unabeza..alafu mnaonyesha umbumbumbu Yanga wanawaomba wanachama Na mashabiki sio watu wengine..Julio aliacha 504 yake hotelini kuwagomboa wachezaji wa Mikia ..mlipeni gari lake
Refa Zimbwe Jr alitakiwa apewe red card..baada ya kuzidiwa maarifa Na bwana mdogo Paul a.k.a Boxer..Okwi anapiga viwiko ...hatupoi mpaka mwisho wa ligi...Basi simba ni walking dead maana juzi hapo kawapiga changuruwe pamoja na usukule wake
Sent using unknown device
I will certainly stay tuned. Leftovers a k.a. Viporo have no guarantees.Kuongoza ligi kwa kucheza mechi nyingi huoni tumewatanguliza kwa baiskeli ya barafu asubuhi, hivi unaelewa baada ya jua kuwaka nini kitakufika kwenye usafiri wako?
Mnaongoza ligi kwa kucheza mechi ngapi na mpaka sasa mnamagoli mangapi?, na simba kacheza mechi ngapi na sasa ana magoli mangapi?
Stay tuned
Sent using unknown device
Kuwaelimisha mambumbumbu yataka moyo. Ndiyo kwanza wamesajili kampuni. Kwa sasa kila kitu ni hela ya Mo, mtu mmoja. Yanga inaendeshwa na wanachama na mashabiki wake.Mpira uwanjani...bingwa Mara 27 unabeza..alafu mnaonyesha umbumbumbu Yanga wanawaomba wanachama Na mashabiki sio watu wengine..Julio aliacha 504 yake hotelini kuwagomboa wachezaji wa Mikia ..mlipeni gari lake
Wang'oa viti ustaarabu mmeanza lini?Hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.
2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair
3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
Hata kabla ya kuwapiga mlikua mkijinadi kua hatuwezi lakini baada ya mechi kuisha lawama mmempelekea kabwiliI will certainly stay tuned. Leftovers a k.a. Viporo have no guarantees.
Who has assured you that you will win all the pending games come sun, come rain?
Tofautisha battle na war. Mechi kwenye ligi ni battle. Ligi nzima ni war. We are good at winning wars. Ndoo nyingi za TPL ni ushahidi tosha.Hata kabla ya kuwapiga mlikua mkijinadi kua hatuwezi lakini baada ya mechi kuisha lawama mmempelekea kabwili
Sent using unknown device
Mashabiki wa Instagram ..Yanga hata ikiwa choka mbaya ubingwa kama mgonjwa Na uji
Umewahi kufika Ulaya?? Unafikiri TV zinaonyesha kila kitu..patheticHakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.
2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair
3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
Tofautisha battle na war. Mechi kwenye ligi ni battle. Ligi nzima ni war. We are good at winning wars. Ndoo nyingi za TPL ni ushahidi tosha.
Sawa ila juzi mgonjwa alimfanya muuguzaji azimie kwa presha baada ya uji kushindwa kupenya kinywani, ila leo angalau mgonjwa kaonesha afadhali karudisha tumaini kwa muuguzajiMashabiki wa Instagram ..Yanga hata ikiwa choka mbaya ubingwa kama mgonjwa Na uji